mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,257
- 2,846
Kila anaewa-oppose kwenu nyie ni CCM, wengine hatuna vyama.
Huwezi kukosoa sela ya chama furan kama ww c wa chama furani
Kila anaewa-oppose kwenu nyie ni CCM, wengine hatuna vyama.
Na nadhani hapo ulipo hata hujui kesho yako itakuwaje. Na inawekana huko unakotoka kuna umasikini wa kutupwa mnashindwa hata kupeleka watoto kwenye shule za kata. nauri yenyewe ya daradara inakupa shida unaishi kwa kugongea gongea. Miaka hamsini ya ccm imekuweka upofu. Endelea hivo hivo, unawashabikia ccm ukitumaini watukupa kinafasi ili nawe uwe fisadi utoe umasikini kwenu.
Punguza kuongea kwa kudhani
boga ni wewe usiamini ktk mabadiliko, tena wengi wanaotaka mabadiliko ndio sisi wachapakazi, ukizoe kupata vya bure, kuiba au dhuluma huoni sababu ya ccm kutoka madarakani.Kipindi ndg zako wanakufa kwa kukosa huduma, wengine wanatibiwa ulaya. Blame yourself! Chagua UKAWA halafu kaa tu kama boga usubirie huduma ije mlangoni.
Ushabiki wenu ndio unawaaminisha hivyo.
Mbowe is a symbol of Tanzania's revolution
kweli wewe mbunye, hivi kuna suara la kuamini hapa, hivi hali ya maisha ya watazania wanyonge huioni. kweli kuna watu na viatu.Kipindi ndg zako wanakufa kwa kukosa huduma, wengine wanatibiwa ulaya. Blame yourself! Chagua UKAWA halafu kaa tu kama boga usubirie huduma ije mlangoni.
Ushabiki wenu ndio unawaaminisha hivyo.
nakushauri uende kule Tandale Yemeni na sehemu nyingi uone maisha ya watanzania wa miaka hamsini ya utawala wa ccm harafu ulinganishe na hao wanaotaka uwapigie kura wanaoishi oystebay, masaki, mbezi, posta. Nenda na mikoa mingine ukalinganishe maisha ya hao wanaotaka uwapigie kura na hao wakupiga kura. Acha ushabiki wa kichoyo ili uambulie mifupa anayostahili mbwa wa maskini kule Nanjilinji.Kipindi ndg zako wanakufa kwa kukosa huduma, wengine wanatibiwa ulaya. Blame yourself! Chagua UKAWA halafu kaa tu kama boga usubirie huduma ije mlangoni.
Ushabiki wenu ndio unawaaminisha hivyo.
I salute you Mbowe, nasema I salute you Mbowe again. You a really comander if not a comandor. wewe ni camander zaidi ya wenye taruma ya kuwa makamander. Mbowe nimekukubali, na daima nitakuwa nyuma yako. Sikutegemea mbowe ungeendelea kusonga mbele, mbele ya masahibu na hila za kuua upinzani. Slaa aliye kuwa alama ya ukombozi, mshauri wako mkuu, mtu uliyemheshimu na kuweka imani yako kwake, leo kayafanya haya. Nilidhani ungeyumba lakini ahsante Mungu wa Mbinguni hukuyumba. Mbowe wewe ni kweli ni kamander. Ufahamu tumaini la wanyonge limebaki kwako. Nipo nyuma yako kokote uendako. VIVA Mbowe! may God of heaven bless you with safe and long life!
Usichoelewa ni kwamba hivyo vyama vinaendeshwa kwa kodi za Hata wasio na vyama.Huwezi kukosoa sela ya chama furan kama ww c wa chama furani
nakushauri uende kule Tandale Yemeni na sehemu nyingi uone maisha ya watanzania wa miaka hamsini ya utawala wa ccm harafu ulinganishe na hao wanaotaka uwapigie kura wanaoishi oystebay, masaki, mbezi, posta. Nenda na mikoa mingine ukalinganishe maisha ya hao wanaotaka uwapigie kura na hao wakupiga kura. Acha ushabiki wa kichoyo ili uambulie mifupa anayostahili mbwa wa maskini kule Nanjilinji.