Naishi mwanza elimu yangu ni chuokikuu natafuta msichana mrembo na msafi awe na umri kati ya miaka 18-24 alieenda shule lakini pia awe ni mtoto wa kitajiri mkristo tuma ujumbe na picha via sbi.interco@gmail.com
kaka acha kutia watu moyo mimi npo mwaza na mpaka ilipo benk nishafika nilie mkuta kanithibitishia mcb hawajawahi kutangaza kazi ile ni gvnt hata kama ni kazi tungeziona kwenye magazeti kaka ni utapeli mtupu , fungua macho kaka
nimetoka MCB sasahivi yani kuuliza hawa jamaa ni waongo ni wezi wa mtandao tu, mcb bank nafasi za kazi hazijatangazwa na haiwezekani mcb bank watangaze nafasi kwenye mtandao tu pasibo vyombo vingine vya habari, mi pia ni moja wa waliotumiwa email ya kuchaguliwa jaman take care kwa maelezo zaidi...
Kumekuwa na tarifa zisizo kamili muda mrefu kuhusu hawa quality service mara matapeli mara kweli, hatuelewi so mwenye tarifa sahihi na kwa utafiti atujulishe jaman eeeeeh!
mimi pia jana jioni nimetumiwa email ya cograt, coz pia nireeport hilo tukio, bt kunamadadiliko training itafanyika mwezi wa tano coz kunawatu 10 wataongezeka kataika branch za geita na kahama etiii kwa mawasiliano zaidi aliyechaguliwa ili tupeane tarifa sahii nipigie 0718 524545
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.