Recent content by shambo

  1. S

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Hii ni changa la macho. kwanini wamemuacha RPC na RCO? Hapa serikali inataka kutudanganya.
  2. S

    Treni ya mwakyembe Ubungo-stesheni ilikuwa zianze 10/9/12

    mimi pia nilisikia kuwa tarehe 10/09/2012. na leo kulikuwa foleni ubungo kubwa sana nikadhani kuwa ni kwasababu ya treni.
  3. S

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    punyeto ni dhambi. hivo elewa kuwa unatenda dhambi bila kujua. pia tatizo ni kwamba usifikilie ngono kwenye akili yako. nakushauri kama huna muke OA
  4. S

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    punyeto ni dhambi. hivo elewa kuwa unatenda dhambi bila kujua. pia tatizo ni kwamba usifikilie ngono kwenye akili yako. nakushauri kama huna muke OA
  5. S

    Kutokwa uchafu kama maziwa sehemu za siri tiba nini?

    Mimi nina mpenzi wangu, kila ninapofanya tendo la ndoa kuna uchafu unatoka kama maziwa yaliyo ganda ambayo yanatapaka kwenye uume wangu. sasa wadau huu ni ugonjwa gani?
  6. S

    CCM yawakaanga Bashe, Kigwangalla

    namkumbuka sana mwl kifimbo
  7. S

    CCM yawakaanga Bashe, Kigwangalla

    wanatafuta umarufiu kwa nguvu. shida ipo wapi?
  8. S

    Baraza la madiwani lawafukuza watumishi 12 kwa ufisadi

    mimi sijakuelewa. iweke vizuri
  9. S

    Baraza la madiwani lawafukuza watumishi 12 kwa ufisadi

    hii inamaanisha nini?
  10. S

    Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

    Jamani naomba msaada wa kitaalamu. mimi niliwahi kuumwa ugonjwa wa mkanda wa jeshi, lakini nilifanikiwa kupata matibabu hatimaye madonda yale yakapona. Lakini saizi lile eneo ambalo nilishikwa hayo madonda panakuwa kama vitu vinatembea kwa ndani harafu pana washa sana. Je wadau nitumie dawa...
  11. S

    Tanzia: Mama Hawa Ngulume afariki dunia!

    chang'ombe chunya wanamkumbuka sana huyu mheshimiwa
Back
Top Bottom