Kutokwa uchafu kama maziwa sehemu za siri tiba nini?

shambo

Member
Aug 13, 2012
22
0
Mimi nina mpenzi wangu, kila ninapofanya tendo la ndoa kuna uchafu unatoka kama maziwa yaliyo ganda ambayo yanatapaka kwenye uume wangu. sasa wadau huu ni ugonjwa gani?
 
Mwambie awe anajisafisha mkuu!

Mwambie achutame kisha ajisafishe vyema na kuweka maji ya kutosha daily, huo ni uchafu ambao ni kawaida usipojisafisha utaonekana kwa mhusika. akiweza baada ya hapo ajifukize na udi.teheh au apake misky.
 
kumekucha
 
Ni kawaida....wala si ugonjwa...kuna baadhi ya wanawake wengi huwatokea. Ningekushauri ni vyema ukaenda hosptal ili upate uhakika zaidi. Humu kwenye JF watu wengine hufanya mzaa
 
Cyo ugonjwa, bt hyo hutokea endapo mwanamke anakua hajafanya mapenzi kwa mda mrefu na huo km mgando ni matokeo ya ule ute ambao ulitakiwa kutoka kipindi anakojoa au pale anapohic hamu imezidi kwahyo kwakua huajatoka unaganda thn hali kama hyo ndo inatokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom