Recent content by shalomK

  1. shalomK

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni matamu na tena ni shubiri kivipi?

    Napenda tuanze na swali hili ili tuweze kujenga msingi wa kile tunacho taka kukiongelea hapa.Mara nyingi mahusiano na mapenzi yanakua mazuri sana mwanzoni,… Lakini baada ya mda flani,mahausiano hayo hayo yanageuka na kua kama shubiri baina ya wawili walio kua wanapendana sana hapo...
  2. shalomK

    JamiiForums Tanzania USIRI WA KUPITILIZA hautakiwi katika mahusiano

    Miongoni mwa vitu hatari pia kwenye mahusiano ni pamoja na hili la usiri wa kupitiliza. Kama una vitu moyoni na upo kwenye mapenzi/mahusiano bora kabisa si vizuri kuvificha na hasa vile vinavyohusiana na mapenzi yenu moja kwa moja. Ni kweli kuna vingine huwezi kumwambia kwa sababu havina...
  3. shalomK

    JamiiForums Tanzania Kiswahili Lugha yetu

    Kama nchi inahitaji wataalamu wa lugha ya kiingereza basi msisitizo uwekwe kwenye kiingereza lakini kama nchi inahitaji wataalamu wenye ujuzi juu ya fani na taaluma mbalimbali zenye tija kwa taifa katika kuleta maendeleo basi tuache siasa na tufundishe wataalamu wetu kwa lugha wanayoielewa...
  4. shalomK

    JamiiForums Tanzania Furahia kazi yako

    'Fanya kazi yako kwa furaha'. Hata kama ni mfagia barabara fagia kwa kiwango cha juu mpaka kufikia tuzo la mfagiaji bora nchini, africa na hata ulimwengu mzima.
Back
Top Bottom