Kiswahili Lugha yetu

shalomK

Member
Nov 26, 2012
6
0
[h=5]Kama nchi inahitaji wataalamu wa lugha ya kiingereza basi msisitizo uwekwe kwenye kiingereza lakini kama nchi inahitaji wataalamu wenye ujuzi juu ya fani na taaluma mbalimbali zenye tija kwa taifa katika kuleta maendeleo basi tuache siasa na tufundishe wataalamu wetu kwa lugha wanayoielewa ili waweze kuchangia katika kuchochea maendeleo.[/h]
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
138,528
2,000
[h=5]Kama nchi inahitaji wataalamu wa lugha ya kiingereza basi msisitizo uwekwe kwenye kiingereza lakini kama nchi inahitaji wataalamu wenye ujuzi juu ya fani na taaluma mbalimbali zenye tija kwa taifa katika kuleta maendeleo basi tuache siasa na tufundishe wataalamu wetu kwa lugha wanayoielewa ili waweze kuchangia katika kuchochea maendeleo.[/h]
uko sahihi kabisa! hakuna nchi duniani iliyopiga hatua kwenye maendeleo na nyanja mbalimbali kwa lugha za kuazima angalia japan china india urusi nk! kwenye kila kitu inaanza lugha yao halafu zinafuatia lugha nyingine, kwa kiswahili chetu ni tofauti
 
Top Bottom