Recent content by Shalfiner

  1. Shalfiner

    Kumbe T.I.D Mnyama anatoka kimapenzi na Recho wa THT

    Makubwa haya mheshimiwa kaamua kumchukua yule teja!
  2. Shalfiner

    666-nyayo za kuzimü

    Hatariiii!!!
  3. Shalfiner

    Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

    Senkyuuu nimeuona jamani bora Yesu arudi.
  4. Shalfiner

    Soma hapa

    Dina mpendwa naomba ni pm huo uzi aliouweka warumi kwenye lile jukwaa letu
  5. Shalfiner

    Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

    Please msinibanie huo uzi nami nijue mambo yaliyojiri mbona mnakuwa hivyo.
  6. Shalfiner

    Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

    Jamani nami naombeni huo ubuyu
  7. Shalfiner

    Diamond alichofanyiwa na Heaven on Desert(Kifesi)

    Unapendaga kumpa moyo huyo kama anafanya kitu cha ajaaabu kumbe kawaida sana
  8. Shalfiner

    Kumbe T.I.D Mnyama anatoka kimapenzi na Recho wa THT

    Hakuna utani juu ya hilo pacha mwenzie mdogo wake Bushoke amethibitisha hilo ambaye ndugu yake ndo anapunguzia stress kwa Joti.Hao mapacha ni wale waliopo kwenye nyimbo ya maunda zorro,wamesoma jamhuri sec,dodoma.
  9. Shalfiner

    Odama huvumi lakini umo

    Kijiwe kimenoga kweli.
  10. Shalfiner

    666-nyayo za kuzimü

    Inazidi kuwa tamu na inaogopesha.
  11. Shalfiner

    Kumbe T.I.D Mnyama anatoka kimapenzi na Recho wa THT

    Hao ndo wamemake headline,inasemekama ni kweli na joti keshagombana na mchumba wake yule mdogo wake bushoke kisa kikubwa ni lulu.
  12. Shalfiner

    Kwanini akinadada hatuwezi kuomba gegedo...?

    Mume wangu na tumezoeana sana lakini kwenye six by six nimejitahidi nimeshindwa wacha nife na maugwadu yangu
  13. Shalfiner

    Odama huvumi lakini umo

    Washamba wenzie hata siwaogopi na sio kosa lao wamerogwa na CEO wao siku akili zikiwarudia watakuwa wameshachelewa
  14. Shalfiner

    Hizi ndizo maana za tatoo walizochora baadhi ya wasanii Tanzania

    Ni ushamba tu mijitu mingine inabore kazi kumaliza nafasi tu.
  15. Shalfiner

    Odama huvumi lakini umo

    Lakini tuseme ile haki Mange sura yake mbaya laiti angepewa kama ya Sintah pasingetosha
Back
Top Bottom