Recent content by Shakil Bhanji

  1. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu na gharama za kutangaza kwenye gazeti kwa kupotea hati za ardhi

    Habari. Naomba kujua garama na utaratibu wa kutangaza kwenye gazeti kupotea hati ya ardhi. 1. Muda inayotakiwa kutangaza. 2. Garama na gazeti gani kutangaza. 3. Mawasiliano yao
  2. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

    Hawawezi. Wamepotea
  3. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Fahamu kama namba yako ya NIDA ilitumika kusajili laini za simu usizozifahamu kwa mawakala wajanja wa kusajili laini

    Msaada. Kama unataka kuangalia namba Zote za mitandao Zote zilizosajiliwa na Nida yangu nafanyaje. Km MTU kasajili na halotel na Nida yangu Mimi Sina halotel laini kuhakiki nitajuaje?
  4. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu mnada wa TRA wa mtandaoni

    Unaenda kukagua Gari hapo mnadani. Unaenda siku ya mnada na unabid Hadi Bei yako. Ikiwa utashinda unalipwa na kuichukua
  5. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la soya

    Bei yao ni 800/ kg
  6. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Mwenye Akili ni yule anayesikia sana na kuongea kidogo.
  7. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Upo wapi mkoa?? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Mbuzi dume 100 nanunua.....

    Endelevu...nitumie # yk Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Mbuzi dume 100 nanunua.....

    Dodoma wapi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Mbuzi dume 100 nanunua.....

    Sina wenyeji KATAVI....jamaa tu amesajesti Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Mbuzi dume 100 nanunua.....

    Nauli ya gari ktk katavi itakuwa juu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Mbuzi dume 100 nanunua.....

    Katavi mbali nataka karibu na dar km dodoma singida kondoa nk Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Mbuzi dume 100 nanunua.....

    Nataka mbuzi 100 dume wa kilo 20+ wa miaka 2 na juu.... nipo teyari kuja mkoani... km unayo inbox na picha kwenye what's app tufanye biashara Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Bei ya alizeti

    Debe moja ya alizeti inatoa kilo ngapi..... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Bei rahisi ya mahindi

    Una mahindi ya mwaka huu au jana
Back
Top Bottom