gmail mkulima
Senior Member
- Jun 11, 2017
- 186
- 114
Naomba wakuu tujulishane bei ya alizeti kwa gunia ya debe 6 ni sh ngapi kwa sasa hvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninetoka mwezi 6 singida ilikuwa 50,000-60,000 baadhi ya maeneo mpaka 40,000Naomba wakuu tujulishane bei ya alizeti kwa gunia ya debe 6 ni sh ngapi kwa sasa hvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
250 kwa kilo
Tsh 2500
mm binafsi sijajua ila nilikuwa naomba unisaidie no zako nataka ushauri maana na mm nilikuwa nataka kuanza na kilimo cha alizetiNaomba wakuu tujulishane bei ya alizeti kwa gunia ya debe 6 ni sh ngapi kwa sasa hvi.
Sent using Jamii Forums mobile app