mkuu dawa yake moja tu usimuombe mzigo wala nini acha ela ya kula nenda job ludi muda mbovu ukiingia usile koga lala usimsemeshe wala nini tumia dozi iyo kwa siku 4mpaka 7 utayaona majibu
tatizo lako mkuu unaonekana ulifanya kosa kuoa kabla hauja mchunguza vizuri tabia zake na anakuchukuliaje kwenye suala zima la mahusiano na kingine vijana wengi tunakulupuka kuoa tukiwa na umli mdogo mi msini shauli kuoa mi nawaza umilionea na ingawa ukisha oa ndo tiketi ya kupotea
Unalikuta lidume zima linajisifia urijari kwa kuwa na mademu kama madira ya elfu 3, badilikeni nyie wanaume, kama mwanaume rijali nyumbani wapate ugali.
Habari wakuu mwenzenu nina kitabia cha kushindwa kurudia tendo endapo demu nimezoeana naye kwa muda mrefu,
Ila akiwa mgeni huweza kurudia hata mara 6 why inakuwa hivi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.