hili song la KingKiba kafanya ubunifu mkubwa sana.hajataja mtu yeyote zaidi ya kuisifia Simba.sio nyimbo una wataja watu halafu msimu unaofata wanaondoka song linakuwa halina maana
kweli kabisa halafu huwa tunaambiwa eti kina barrack obama, Jay z, Beyonce, Kanye West, 50 Cent, Diddy na wengine wengi ni ILLUMINATE kumbe huwa wanatudanganya tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.