sakwano
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 303
- 831
Msanii dimond platnumz ametoa kibao kipya kinachokwenda kwa jina la zuwena...wimbo mzuri sikatai ila kwa maoni yangu mimi binafsi ilikuwa sio lazima kuita zuwena...angeita hata Antonia tu ingetosha na angeeleweka...kwani jina zuwena lishatumika sana na wasanii tofautitofauti...