Recent content by shahadae

  1. S

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Kitu usichokijua ni usiku wa giza. D9 hawapitishi hela yao benki yeyote ile. Narudia, hawapitishi hela yao benki yeyote ile. Kudhani kwamba Tangazo la katazo ndio limevuruga kila kitu, ni uelewa mdogo sana. Hebu soma kwa undani sana kuhusu cryptocurrency duniani na jinsi zilivyokuwa ngumu...
  2. S

    Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu

    We ndio umekosea... sio Duruti. ..ni DULUTI mkuu
  3. S

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Pamoja na hayo yote lakini Watanzania wamefika mahali pa no return aisee.. Ukawa watapita tuu... japo Roho inauma.
  4. S

    Tehran: Iran general killed in Israeli airstrike in Syria

    Si shabikii mauaji yeyote yale. Lakini nnachojua nuclear scientist tisa wa Iran wameuwawa na Israel ndani ya Iran yenyewe. No any retaliation has been reported so far zaidi ya nchi moja kuendelea kuwafadhili Hezbolah na Hamas kwa silaha
  5. S

    Mitambo ya Nyuklia ya Irani Kubomolewa ndani ya Masaa Machache

    mpiga kelele ivi unajua Fordow iko wapi? hebu soma vizuri uliyoyaandika. nnahisi ulichokimaanisha sicho ulichoandika. But all in all mtambo wa fordow ulishavurugwa mbaya kabisa na wanantuklia 11 kutoka korea, ujerumani na iran waliuwawa. ni mwezi wa tatu mwaka huu. achilia mbali nuclear...
  6. S

    Uchumi wa Arusha umekwisha tuufanye kuuokoa???

    Daa.. akili ndogo sana hizi. Kuvimbisha misuli ya shingo kwa kupiga mikelele kuwaaminisha watu eti uchumi wa Arusha umeshuka, nakumbuka enzi zileeeee... tulipokuwa watoto tunabishana tukisema ..."hili gari langu..." mwingine nae anasema "mi nilishaliwahi ni langu..." Mleta mada uzi wako wa...
  7. S

    Kilichomtokea Dr Mwakyembe ndicho kilichomtokea SUGU.

    "analapu" ndo nini banaaa? upeo mdogo sana
  8. S

    Kilichomtokea Dr Mwakyembe ndicho kilichomtokea SUGU.

    acha zako banaa... unajieleza kwa swaga kumbe hamna kitu. sasa "utaimalika" ndo nini.
  9. S

    Mdomo wa LEMA ni hatari kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla

    naona Lukosi una maneno meeengi mno ya kumshambulia Lema mpaka unakinaisha. Unatafuta kuungwa mkono. Sio wote wanafikiri kama wewe, na sio chochote unachosema ni sahihi. hoja zako za kipuuzi namna flani. Can you keep quite please...
  10. S

    Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

    hapana mkuu. tumia lugha laini kidogo inayothamini utu wa mtu. japo hata mimi siungi mkono ufisadi lakini roho ya mtu ina thamani kubwa kupita fedha. ni mawazo yangu tu mkuu
Back
Top Bottom