Mitambo ya Nyuklia ya Irani Kubomolewa ndani ya Masaa Machache

Mitambo ya Nyuklia ya Irani Kubomolewa ndani ya Masaa Machache

Waziri: Nyuklia ya Irani Inawezekana kuharibiwa Ndani ya 'Masaa' tu

2013/08/09, 11:45

Waziri wa mambo ya nje nchini Israel anasema 'masaa machache tu ya mashambulizi ya angani' yatakuwa ndio mwisho wa matarajio ya nyuklia nchini Irani endapo mashinikizo ya jumuiya ya kimataifa yatashindwa.

jumuiya ya kimataifa lazima iwe wazi kwa Iran kuwa ina chaguzi mbili tu: kumaliza mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au "kuona ikiharibiwa kwa nguvu za Kinyama," Waziri wa Mambo ya Mkakati Yuval Steinitz amesema, akizungumza na gazeti la Washington post.

Kuibomoa mpango wa nguvu za kinyuklia wa Irani inawezekana kabisa, alisema, kukadiria kuwa itachukua "masaa machache ya Mashambulizi ya Angani, hakuna la zaidi."

Yeye hakusema yote juu ya wasiwasi na uwezekano wa Iran kwamba inaweza kujibu mashambulizi kwa makombora yake yatue nchini Israeli katika kukabiliana na mashambulizi ya kimataifa juu ya mitambo yake. Mashambulizi ya Irani yakitumwa kwetu yatasababisha "uharibifu mdogo sana," alisema, akielezea kuwa Israeli itakuwa na uwezo wa kuyazuia zaidi makombora ya Irani kwa Mitambo yao maarumu ya kuzuia Makombora.

Rais mpya wa Irani, Hassan Rouhani, ameelezea nia ya kujadili na jumuiya ya kimataifa juu ya mpango wa nchi yake na mipango yake ya nguvu za kinyuklia.

Hata hivyo, viongozi wa Israel wameonya dhidi ya ulimwengu kuwa wanaamini kuwa kauli Rouhani ya umma. "Bila shaka anataka mazungumzo zaidi. Yeye anataka kuzungumza na kuzungumza na kuzungumza. Na wakati kila mtu anapokuwa bize kuzungumza naye, yeye atakuwa bize kurutubisha madini ya uranium yakisharutubishwa yanaweza kutengeneza Bomu la maangamizi, "Waziri Mkuu Binyamin Netanyahu alionya wiki hii katika mkutano na wabunge nchini Marekani.

"Hii si siri. Rais mpya wa Iran anajivunia kwamba ni mkakati wake, "aliongeza.

Steinitz alikubali. "Rouhani hana haiba, yeye ni mjanja, na yeye kutabasamu njia yote ya bomu," aliiambia Post.

Netanyahu ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kukabiliana na kudumisha shinikizo juu ya Iran.

"Rais wa Iran alisema kwamba mashinikizo hayawezi kusaidia kumzuia kuendeleza mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia. Lakini tunaona kwamba zaidi ya miongo miwili iliyopita, Njia pekee ambayo imesaidia imekuwa ni shinikizo tu, "alisema.


378189.jpg
Dege la Kivita la Israel...



iron_dome_156425619_620x350.jpg

Mitambo ya Kuzuia Makombora ya Israel... jinsi inavyofanya kazi
Kampuni ya Rafael



Katika miaka ya karibuni kimekuwa kikifanya kazi ya kutengeneza mtambo ambao utakuwa na uwezo wa kufanya kazi barabara kwa kila aina ya misimu ya hewa ambao Unaitwa Ghuba ya chuma ya Majira yote (All-Weather Iron Dome


2039097592.jpg

ujenzi wa kituo cha Fordow ambacho kipo ndani ya mlima kipo juu ya maili 20 kaskazini kaskazini wa Qom, Iran. Picha na AP

Mwambie Israel atoe kwanza mwiba wa tak.o halafu ndio akae chini atoe mwiba wa mguu!
 
ia Logan
Iran’s automotive industry is
the second most active industry
of the country, after its oil and
gas industry, accounting for
10% of Iran's GDP.[1][2]
Iran developed a significant
automotive industry with up to
200 thousands annual
production under Shah's regime.
But after the Islamic revolution
of 1979 it drastically decreased.
Since the early 2000,
automobile production in Iran
grew exponentially. Iran's
automobile production crossed
the 1 million mark in
2007/2008. Today, Iran is the
13th largest automaker in the
world
and one of the largest in Asia,
with annual production of more
than 1.6 million (that is more
than in such old and new auto
makers as Belgium, United
Kingdom, Italy, Czech republic
and Turkey).[3] In 2009 Iran
ranked fifth in car production
growth standing next to China,
Taiwan, Romania and India.[4]
As of 2001, there were 13 public
and privately owned automakers
in Iran, of which two - Iran
Khodro and Saipa - accounted
for 94% of the total domestic
production. Iran Khodro, which
produced the most prevalent car
brand in the country - the
Paykan, which has been replaced
in 2005 by the Samand -, was
still the larger with 61% of the
market in 2001, while Saipa
contributed 33% of Iran’s total
production in the same year.[5]
Iran Khodro is one of the
largest car manufacturers in
Asia. It has established joint-
ventures with foreign partners
on 4 continents.
The Iranian manufacturers
currently produce six different
types of vehicle, including
passenger cars, 4WD, trucks,
buses, minibuses, and pickup
trucks. The sector directly
employs about 500,000 people
(roughly 2.3% of the
workforce), and many more in
related industries. About 75%
of local output is passenger
cars, with pick-ups the next
largest category, accounting for
around 15%.
 
Mwambie Israel atoe kwanza mwiba wa tak.o halafu ndio akae chini atoe mwiba wa mguu!

Hilo swali hebu lisome upya then ujiulize wewe kama utalielewa!
 
ia Logan
Iran's automotive industry is
the second most active industry
of the country, after its oil and
gas industry, accounting for
10% of Iran's GDP.[1][2]
Iran developed a significant
automotive industry with up to
200 thousands annual
production under Shah's regime.
But after the Islamic revolution
of 1979 it drastically decreased.
Since the early 2000,
automobile production in Iran
grew exponentially. Iran's
automobile production crossed
the 1 million mark in
2007/2008. Today, Iran is the
13th largest automaker in the
world
and one of the largest in Asia,
with annual production of more
than 1.6 million (that is more
than in such old and new auto
makers as Belgium, United
Kingdom, Italy, Czech republic
and Turkey).[3] In 2009 Iran
ranked fifth in car production
growth standing next to China,
Taiwan, Romania and India.[4]
As of 2001, there were 13 public
and privately owned automakers
in Iran, of which two - Iran
Khodro and Saipa - accounted
for 94% of the total domestic
production. Iran Khodro, which
produced the most prevalent car
brand in the country - the
Paykan, which has been replaced
in 2005 by the Samand -, was
still the larger with 61% of the
market in 2001, while Saipa
contributed 33% of Iran's total
production in the same year.[5]
Iran Khodro is one of the
largest car manufacturers in
Asia. It has established joint-
ventures with foreign partners
on 4 continents.
The Iranian manufacturers
currently produce six different
types of vehicle, including
passenger cars, 4WD, trucks,
buses, minibuses, and pickup
trucks. The sector directly
employs about 500,000 people
(roughly 2.3% of the
workforce), and many more in
related industries. About 75%
of local output is passenger
cars, with pick-ups the next
largest category, accounting for
around 15%.

Unafahamu Irani hana Ujanja wake mwenyewe anatumia Licence tu kwa kila anachozalisha hata Wazungu wakitaka wanaweza tu.... wao wanangalia Maslai yao...
[h=3]Products and relationships[/h]
Iran's automobile production crossed the 1 million mark in 2005. Iran Khodro is one of the largest car manufacturers in Asia. It has established joint-ventures with foreign partners on 4 continents.



For more than three decades, Iran Khodro produced the Paykan, a car developed from the Rootes Group's Rootes Arrow range, best known as the Hillman Hunter. Paykan saloon car production was discontinued in 2005, almost thirty years after the end of Arrow production (latterly as the Chrysler Hunter) in Britain. A pick-up version is still in production.[SUP][12][/SUP] Bardo Pick-up, pick-up version of Paykan, will be replaced by a new pick-up from Samand family.[SUP][13][/SUP]
Iranian-designed IKCO Samand, replaces the dated Paykan as Iran's "national car", and features a part-Iranian designed CNG/petrol dual-fuel engine in its Soren variant.
The firm has a long-term relationship with European and Asian manufacturers including PSA Peugeot Citroën, manufacturing and assembling a number of models under license from these firms. In 2009, Peugeot 206, Peugeot Pars, Peugeot 405, Peugeot Roa, and Samand sedans were IKCO's export-bound cars sent to Azerbaijan, Iraq, Armenia, Uzbekistan, Turkmenistan, Syria and Afghanistan.[SUP][14][/SUP] As at 2012, IKCO products incorporate 5-10 percent of components imported from France. IKCO's parts imports from Peugeot accounted for 700-800 million euros ($572–654 million) per year.[SUP][15][/SUP] Iran has reached 98% of self-sufficiency in producing Peugeot 405 parts and 75% in Peugeot 206 parts.[SUP][16][/SUP]
Renault Pars Company is in charge of the engineering, quality control, parts supply, logistics, managing sales policies as well as marketing and customer services for Renault products in Iran and IKCO is one of its main shareholders that produces Tondar for the domestic market. Renault Pars is a joint venture, 51 percent of which belongs to Renault of France. Forty-nine percent of Renault Pars' shares is jointly held by Iran's Industrial Development and Renovation Organization, IKCO and Saipa. The company was established in 2003.[SUP][17][/SUP]
IKCO also manufactures trucks, buses and E-Class passenger cars under license from Mercedes-Benz. In a joint-venture with Daimler AG, Iran Khodro is to start production of sophisticated 900-class Mercedes-Benz engines; Daimler states that Iranian-made engines will be exported to Germany.[SUP][18][/SUP][SUP][19][/SUP] Among Asian automotive manufacturers, IKCO is cooperating with Suzuki. Producing Suzuki Grand Vitara in IKCO's Site in Khorasan, IKCO will produce Suzuki Kizashi.[SUP][20][/SUP]
In 2012, IKCO announced that at least 3% of the company's sales will be allocated to research and development.[SUP][21][/SUP]
 
Ushabiki uliokujaa unatosha kuonesha msimamo wako ulipo,sina cha kuongeza tusubiri tuone mbivu na mbichi,lakini ujue VITA BAINA YA HAKI NA BATILI LAZIMA HAKI ISHINDE!
 
Acha kuandika kishabiki. Kwani Irani hawana silaha? Israel anategemea USA wakati Muirani ana tengeneza mwenyewe

Chasha pole sana ujuwi dunia inaenda wapi, naninadhan humjuwi Muisrael. Tafadhal kasome urudi jamvini.
 
Muulize ile drone ya Hisbollah iliyopita juu ya Fordow na kupiga picha...ikajakustikiwa inataka kuvuka mpaka ...muda huo mtambo ulikuwa haujakamilika !?

mpiga kelele ivi unajua Fordow iko wapi? hebu soma vizuri uliyoyaandika. nnahisi ulichokimaanisha sicho ulichoandika. But all in all mtambo wa fordow ulishavurugwa mbaya kabisa na wanantuklia 11 kutoka korea, ujerumani na iran waliuwawa. ni mwezi wa tatu mwaka huu. achilia mbali nuclear scientist 11 wa iran waliouwawa na israel. pia stuxnet virus alivyofanya uharibifu kwenye vinu vya nuclear vya iran. hakuna atakaloshindwa israel kwa iran. wapi kwenye historia au hata maandiko ambapo inaonyesha Israel kashindwa kama Mungu hakuamua. Iran wafanye yote lakini wakipanga kuliondosha taifa alilolianzisha Mungu. watachemsha. maandiko yanadai kwamba muslim brotherhood watajikusanya tena wapigane na Israel. na watapotezwa mbaya kabisaaaaa....tena na urusi akiwa kiongozi wao. Iran haitashinda vita hiyo ikifika. Ezekiel 36 & 38. read upate ufahamu.
 
nilidhani weshaipiga kumbe ndo ile ile ya kusema tangu 2003....mpaka leo
 
Wenzio huko Irani wananchi hawataki kabisa Ugomvi na Israel wanaishi kwa hofu kwani wakati wowote kinaweza kikanuka Maisha ya Irani yapo chini sana nina mshikaji wangu alienda wanatia huruma sana wana mawazo ya kukimbia nchi tu wengi kwa sasa wanakimbilia Australia wanaenda Indonesia kisha wanakula bot za njia ya panya kufika pwani za Australia... Makombora ya Irani yote yanazuilika Israel kesha yaona na kupima na Ujue Iran na Israel wapo Mbali sana Israel anaweza kuifikia Iran kwa Urahisi sababu anauwezo mkubwa zaidi ila iran ni Shida tu anamtegemea Russia kwa Vifaa... Fuatilia kinu cha Nuclear cha Fordow kililipuka na nani alihisiwa....

IAI- ISRAELI AEROSPACE INDUSTRIES STRIKING CAPABILITIES - YouTube

Tatizo nchi za kiarabu hawama umoja.Irani atapigwa wenzake wanaangalia tu kama ivyokuwa kwa Iraq Afghanistan na Libya
 
Tatizo nchi za kiarabu hawama umoja.Irani atapigwa wenzake wanaangalia tu kama ivyokuwa kwa Iraq Afghanistan na Libya

Sio hawana umoja baba Uchumi ndio wanaouogopa... Hiyo irani ina uchumi wake upo juu zaidi ukilinganisha na mataifa ya kiarabu... Sasa kuchokoza uchokoze wewe wenzio waje kujiingiza... Waarabu walishajiunga miaka ya nyuma wakashindwa vita na Muisrael sasa si unajua madhara ya vita na Uchumi lazima utetereke... kiujumla Viongozi ndio huwa wanakuwa na akili mbovu sana... Iraq hakuwa na marafiki wala hakuishi nao vizuri majirani zake alikuwa ni mbabe... Afghanstan pia ndio walikuwa worse huku wakiuza madawa ya kulevya.... Libya dah! yule jamaa alikuwa anabembelezwa baba toka chukua na mali zako tafta sehemu ukaishi utuachie nchi Yatosha tunataka tupumue yeye kibri tu.. mwishowe chali... Irani yeye ni kitu kidogo tu kinamsumbua aache kusaidia magaidi na huo mpango wake wa nuclear aache kwa sababu amesema atatengeneza na ni kwa ajili ya kuipiga Israel tu na ili pia awe na mdomo duniani kama Marekani na mataifa makubwa... wanamuambia huwezi baba yeye ubishi haya tutaona... yeye anadhania atasaidiwa... na Hezbollah...! ni bora aache aweke uchumi wa watu wake fresh mbona maisha yanaenda fresh kuliko vita...
 
Uko sahihi mkuu nimekosea, nilimaanisha ule mtambo wa Israel ulioko jangwa la Negev ...

Hata kama umekosea mbona habari yenyewe kama ukiondoa neno Fordow na ukaweka Negev habari inakuwa haiendani!
 
Hivi israel ingekuwa inatoa vitisho kwa korea ya kaskazini hali ya mambo inguweje?
 
Back
Top Bottom