Recent content by Shagata nock

  1. S

    Matokeo kidato cha pili 2012 hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.

    Da!ukwel utabaki palepale,shule zetu za kata ndo wameumia zaidi,shule bado hazijawa rafiki wawanafunzi,mazingira c mazuri,walimu c wakutosha unazani iyo 35% itasaidiwa vp?,kwanza ndo wengi wao shule tena bac 2ombe mungu labda soon atashuka masiha kuikoa tz!!
  2. S

    Link inayoonyesha matokeo ya Kidato cha Pili

    Of coz mkubwa god,ndo maana hayatangazwi na necta bali waziri husika!
  3. S

    Mke wangu alinifanya niwe Mchawi -1

    Endelea as!maana 2na ifatilia kinomanoma!
  4. S

    Mke wangu alinifanya niwe Mchawi -1

    Da!uyo mkeo hakuwa alikuwa kipepeo anataka tua kila ua!
  5. S

    Mke wangu alinifanya niwe Mchawi -1

    Du!fanya ka kuimaliza maana ndo imenoga kinomanoma!!
  6. S

    Vijana wetu wanafanya nini vyio vikuu ???

    Kingereza c kitu ni lugha tu,je vijana wanauwezo kiasi gani katika kujua wanayofundishwa?kingereza c lazima kukijua ila ni muhumu baba!!!
  7. S

    Ona CV ya huyu mbunge halafu yupo kwenye kamati ya bunge ya viwanda na biashara

    Kwel miaka 50 ya uhuru c ki2,kumbe 2ko nyuma kiac iko??,.
  8. S

    Hod hod wakubwa

    Am new naomba mwongozo wajomba
Back
Top Bottom