Recent content by Shaffy Singh Zubery

  1. Shaffy Singh Zubery

    Kuitwa kwenye usaili polisi

    Aiseeeeh! Me nishajiuliza sana kuhusu usaili huu. Jana ilinibidi niende hadi kwa OCS wa kituo kilichopo karibu nami. Ila akaniambia bado kidogo twapaswa kuwa wavumilivu.
  2. Shaffy Singh Zubery

    Tanga Sirudi Tena...

    Aisee! Hivi we ni mwanaume gani? Ama watuhadithia ili tujifunze nini? Ulipaswa ufe kabla yake
  3. Shaffy Singh Zubery

    Tanga Sirudi Tena...

    Duh! Ama kweli watu mna tamaa, kwann ulimpunguzia luvdavi mrembo wako DSM? Tena ungeukwaa ingekuwa vizuri make wewe unatamani ovyo. Na huyo binti Hollo ulitaka upime nae kwanini?
  4. Shaffy Singh Zubery

    Hivi kwanini wanawake mnatuachia msala sie wanaume katika kulipia vyumba vya hoteli/ lodge/ guest

    Tatizo lililopo hapo ni moja, umemwambia nakutoa out halaf unataka alipe yeye? Kama hana? Mwanamke yupo kwa ajili ya kumtegemea mme.
  5. Shaffy Singh Zubery

    Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    Kama hakutaki mwache ssa unamng'ang'ania wa nn? SIKIA HII:- Mapenzi, maana yake halisi kweli ni maumivu Kama hakupendi, mwombee kwa mungu na kuwa mvumilivu
  6. Shaffy Singh Zubery

    Serikali yazidiwa nguvu kodi ya simu

    Hiyo itakuwa kitu kingine make wateja mitandao ndo watakuwa wanalipa kodi ya mitandao badala ya kampuni lenyewe...
  7. Shaffy Singh Zubery

    Hizi ni baadhi ya picha za Sherehe ya mapokezi ya Prof. Anna Tibaijuka (Muleba/Bukoba).

    Hizi ni baadhi ya picha za Sherehe ya mapokezi ya Prof. Anna Tibaijuka akipongezwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (TAIFA) NEC.
Back
Top Bottom