Recent content by ShadrackMafie

  1. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Juma Nature ajitoa UKAWA na kurudi CCM kwa Magufuli

    Slaa kahama hajasumbua sembuse Juma Nature?..
  2. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dk. Slaa na Prof. Lipumba, nani wengine dhamira zitawasuta?

    Ni Prof Kitila
  3. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    Kaka Kitila angebaki katika kutufundishia ndugu zetu tu. hapo anapotaka kufika ni sehemu za wengine anpaswa abaki kutuelimisha. sasa akigombea au akiwa raisi sekta ya elimu itapata pigo ambalo linamuitaji yeye binafsi kuliziba.
  4. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    leo sina hakika kama kutakuepo na mafuriko Zanzibar
  5. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

    Raia tanzania wameandika kama ulivyoandika?
  6. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Mbowe kwa wana CHADEMA na Watanzania

    Over my dead body
  7. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Hujaona kasema saa 4 usiku?
  8. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania ITV na EATV zimefutwa kabisa StarTimes?

    Tatizo lako tu mkuu. Fanya aotomatic update ya chanel
  9. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    Makapi ni kauli ya kinana au Nape??? Sielewi
  10. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Ulitaka wawapige polisi? Kwa kosa gani? .
  11. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Nombeni list nzima tafadhali
  12. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongea na Waandishi wa habari, anaendelea Vizuri

    Kwani ni wagomvi unavyouliza hivyo? Hapo hajamjulia hali kisiasa amemjulia kiungwana na kidugu
  13. ShadrackMafie

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa aikana akaunti ya Twitter, asema imegushiwa

    Kama amesema hajawahi kuwa acount twitter ile iliyobadilishwa jina na kupewa jina lLowassa ilikuwa feki pia.
Back
Top Bottom