Baada ya Dk. Slaa na Prof. Lipumba, nani wengine dhamira zitawasuta?

Baada ya Dk. Slaa na Prof. Lipumba, nani wengine dhamira zitawasuta?

wabunge wengine ambao bado nafsi zina wasuta na naamini ipo siku watkuja sema katika mazingira yoyote atakama ni 2020
TUNDU LISSU,WENJE,MSIGWA ,MNYIKA NA KAFULILA.
M naamin hawa wote nafsi zao zina wasuta ipo siku watasema.
Mkuu,
Una maana gani katika comment yako?

Kwa nini unadhani dhamira zinawasuta?
 
andikeni kwa kupoteza muda wenu tu kuandika pumba: Maamuzi tuliishayafanya zamani😱ktoba 25 kura ni kwa lowassa
Mkuu,
Kama mimi nimepoteza muda wangu kwa kuandika pumba, huoni na wewe umepoteza muda wako kwa kusoma pumba!

Hii ni haki na fikra zako kudhani hii ni pumba. Ninaamini kuwa wengine wanafikra tofauti za zako.

Kama umefanya maamuzi yako zamani, haizuii wengine pia ambao hawajafanya maamuzi.

Kama kura yako nikwa Lowassa, kuna wengine pia wana kura kwa mwingine au hawana kura kwa yoyote.

Tunaweza kukubali kutokubaliana!
 
Mkuu Ng'wamapalala.

Siku kuna Chadema asilia na Chadema academia ya kina laki si pesa.

Mkuu huu uzi utakuwa na thamani kubwa baada ya uchaguzi tuvute subra.

Kuna malalamiko yatakuja kuwa Usalama wa Taifa wameiba kura zetu.
Mkuu,

Sikufahamu kama kwa sasa kuna CHADEMA mbili.

Mwaka huu wapinzani wanasema, hakuna hata kura moja itakayoibwa. Kwa hiyo ninadhani hakutakuwa tena na malalamiko ya wizi wa kura!

Kufahamu msingi wa hoja yangu pitia kwenye thread hii,
 
Back
Top Bottom