Recent content by SHADOWANGEL

  1. SHADOWANGEL

    Biashara salon ya kike kati ya Katoro au Kahama

    Kati ya mji flemu Laki na nusu to 250 Pembezoni flemu ni 50 to 100
  2. SHADOWANGEL

    Basi la Scorpion la kutokea Shinyanga kwenda Kasulu lilitekwa na majambazi

    Ni ukweli usiopingika wakati wa magufuli atukuwa na Aya Mambo nakaa karibu Ila Sasa Ni Kama wanabip kuona mama yukoje wakati wa magufuli Askari wakiisi tu ulifanya tukio kesho wako mlangoni kwako wanakutia risasi habari imeisha majambazi wakawa na huoga maana kuuliwa ilikuwa kugusa tu awasubairi...
  3. SHADOWANGEL

    Uwekezaji mzuri kwenye dhahabu

    Mhm yaani mnayozungumza apa Ni Kama rahisi Sana hii biashara utamu wa ngoma ingia ucheze... Sio kuwapa moyo watu kirahisi ivi
  4. SHADOWANGEL

    Daaa milioni tano ghafla zitakujaje?

    Ushoga utapata fasta
  5. SHADOWANGEL

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Upuuzi kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. SHADOWANGEL

    NAITAJI KUJUA MASOKO YA KUKU WA KIZUNGU

    Nataka kuingia Katika biashara ya kuku WA kizungu naitaji kupata assurance ya masoko Kwa walio dar naitaji kujua masoko ya kuku wa kizungu. Naitaji kuanza na kuku 500. Nitafurai nikipata mawasiliano ya wanunuaji kuku
  7. SHADOWANGEL

    Sweden: Tanzania's ambassador, Dr. Slaa called to the Foreign Ministry for a reprimand

    Mhm ushoga ni Kama target Inaonekana walilipanga ili jambo
  8. SHADOWANGEL

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Wananchi wanapaswa kueshiwa sio raisi kuishimiwa..... Inapopotea haki halisi ya wananchi apo watu utafuta haki yao
  9. SHADOWANGEL

    Tujifunze Kenya: Kenyatta asema viongozi wa kuteuliwa/serikali lazima wahojiwe wanapokosea na waidhinishwe na bunge

    Jirani wameanza ila sisi bado tunakomoana kwanza.. Mpaka Mwenye elfu kumi awe na shilingi hamsini
  10. SHADOWANGEL

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    SHIKA NENO NAWE UTAISHI... GOD SAY YOU HAVE NOT BECAUSE YOU ASK NOT.. Kwa imani yangu ya dini unaweza ukairisha kifo unaweza ukapona.. Ndo maana mungu anasema njooni tusemezane... Ijapokuwa una imani kama chembe ya haradani unaweza ukaumbia mlima huu nenda ukatupwe kule. ISAYA 38:1 1Wakati huo...
  11. SHADOWANGEL

    Tulio na madigrii tunaaibishwa sana na failures aisee! Nini maoni yako?

    Lazima watu waelewe kinachofanya mafanikio sio degree ya MTU au masters ya MTU ila ni akili ya MTU binafsi... Niliwai kuambiwa Na Mzungu Mmoja kuwa Shule inafundisha MTU kuzungumza lugha flani kama ni engineer utazungumza lugha ya kiingineer lakini si kwa sababu umesoma basi uwe unagundua...
  12. SHADOWANGEL

    Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

    Laiti kama tungechagua nchi ya kuzaliwa.. Mimi ningekuwa Wa kwanza kuikataa Tanzania..Ni MTU tu kakaa anamuwazia mwenzake mabaya... Ndo maana tunasema msio Na viwanda msiongee Kuusu viwanda... Unakutaka MTU ata Duka ana anakuja kuombea wengine wasifanikiwe...
Back
Top Bottom