Mahakama ya Rufaa kesi imefunguliwa na upande wa kina mwana FA. Mahakama ya Rufaa imeeleza vizuri sana imeirudisha mahakama kuu kasoro kipengele Cha kwanza katika vipengele vilivyopelekwa mahakama kuu
Ushindi ambao nahisi unasemwa na waandishi ni kuwa kesi zinazohusu hakimiliki na hakishiriki Zina mamlaka ya kusikilizwa mahakama ya wilaya hivyo imetengua uamuzi wa mahakama kuu kuwa mahakama ya wilaya haikuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi. Kutokana na kipengele Cha sheria mahususi ya...
Itifaki hapo Lukuvi waziri mwandamizi baraza la mawaziri, karibu mkuu kiongozi kusiluka, mwanasheria mkuu wa serikali kwahyo kwenye mpangilio wa vyeo mzee mkuchika hapo alipaswa kusimama, kwasababu itifaki inapangwa kulingana na vyeo na ikitokea vyeo vinafanana wanapanga kulingana na uandamizi...
Kabla ya kutoka nje kuzungumza na hadhara wote watakaopewa nafasi ya kuzungumza mbele ya Rais hotuba zote lazma azupitie na wakati mwengine Huwa wanapangiwa vya kuongea kwahyo alichokiongea Prof Mkenda kina baraka zote za Mh Rais kabla hajasema pale
Kwenye mabomu ya Gongo la mboto hapo ni kweli tulikuwa tunasuburi Practical ya chemistry Pugu Boys. Ila nimejaribu kufungua code nimeshindwa kukufuhamu maana Kwa maelezo hayo tulikuwa wote PCM.
Pole sana Classmate PCM na COET na hongera Kwa kula shavu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.