Recent content by Shabani Ajaha

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    🗓️20 Aprili, 2024 📍Gymkhana, Zanzibar. Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) kuelekea miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wemeandaa Kongamano kubwa la Miaka 60 ya Jamuri ya Muungano wa Tanzania litakalofanyika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku yako ya kuzaliwa Ndg. Ali Rajabu Issa

    Herj ya kumbukumbu ya kuzaliwa. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa unakutakia heri katika siku yako ya kuzaliwa Ndugu Ali Rajabu Issa. Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha UVCCM Taifa. #SisinaMamaMleziWaWana #KulindaNaKujengaUjamaa Imetolewa na: Idaraya Uhamasishaji na Chipukizi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa

    KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM TAIFA [emoji1001] Juni 25, 2023. [emoji625]UVCCM HQ Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapindiuzi (UVCCM) Ndg. Rehema Sombi (MNEC) Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) akiwa kwenye Kikao cha Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa

    KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM TAIFA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohamed Ali Kawaida (MCC) @comrade_kawaida Kuongoza Kikao cha Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa Kitakachofanyika Tarehe 25 Juni, 2023 Makao Makuu ya UVCCM Dodoma...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Idara ya Mahusiano ya Kimataifa Vyuo na Vyuo Vikuu Akutana na mlezi, viongozi wa serikali ya wanafunzi na viongozi wa UVCCM

    *NDG. MARTINE AKUTANA NA MLEZI, VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI NA VIONGOZI WA UVCCM TAWI LA CITY COLLEGE MIKWAMBE. [emoji1001] Juni 22, 2023. [emoji625]Upanga, Dar es Salaam. Katibu Idara ya Mahusiano ya Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Ndg. Emanuel Martine, amefanya mazungumzo na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Mwenyekiti wa UVCCM Taifa katika mkutano na Waandishi wa Habari

    12 Juni 2023 Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) akizungumza na waandishi wa Habari hii leo ametolea ufafanuzi na msimamo wa Jumuiya hii katika suala la ushirikiano wa kijamii na kiuchumi baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai katika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mnakaribishwa kesho Ijumaa Juni 9, 2023 UVCCM Taifa, Upanga

    [emoji625][emoji625] UVCCM-TAIFA [emoji2783]08 Juni 2023 KIJANA SEMA NA UVCCM Vijana ni hazina muhimu sana kwa Taifa letu kwasababu ya upeo wao mkubwa wa kufikiri na uwezo mkubwa katika utendaji wa kazi kwa maslahi ya Nchi yetu. Kwa kutambua hilo, UVCCM imetenga siku ya Ijumaa ya Tarehe 9...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

    [emoji625] UVCCM - TAIFA [emoji2783] 23 Mei, 2023. Dodoma. [emoji288] EDNA NA WAANDISHI WA HABARI Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Ndugu. Edna Lameck amefanya mazungumzo na Waandishi wa habari kwa lengo la kutoa tathimini ya Ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa Ndugu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ikulu ya Dodoma

    NDG. EDNA AWAKARIBISHA WANACHI KATIKA UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO DODOMA MEI 20, 2023. [emoji625]UVCCM HQ, DODOMA [emoji1001] Mei 19, 2023. Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Ndg. Edna Lameck, kwa niaba ya Umoja wa Vijana wa CCM chini ya Uongozi wa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    UVCCM - TAIFA MACHI 29, 2023 UJIO WA KAMALA HARRIS MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI Nchi ya Tanzania inakwenda kuandika historia isiyofutika kutokana na diplomasia imara iliyojengwa chini ya Uongozi madhubuti wa Rais Mhe. Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN Kamala Harris anatembelea Tanzania akiwa ni makamu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi aongea na wanafunzi Singida

    UVCCM TAIFA 2 MACHI, 2023 SINGIDA KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANAFUNZI Picha na matukio mbalimbali ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg. KENANI KIHONGOSI amekutana na kuzungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mwenge iliyopo Wilaya ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Rais Samia hakuna kilichosimama

    UVCCM Taifa 13 February, 2023 Miaka miwili ya Mama hakuna kilichosimama Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, sehemu ya 5 Isaka - Mwanza (KM 341) unaotekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka China zikiendelea. Ujenzi umefikia asilimia 22.67%...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Victoria Charles Mwanziva, Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa 2022-2027

    KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027 Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga nyumba lazima azingatie upatikanaji wa huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Nyumba za Ibada, Shule...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Rais Samia na Rais Ruto, Ikulu Dar es Salaam Oktoba 10, 2022

    UVCCM-TAIFA OCTOBA 11, 2022 IKULU DAR ES SALAAM MHE. RAIS AMESISITIZA MAMBO YAFUATAYO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN amesema kuwa amekubaliana mambo Mengi na Rais wa Kenya Mhe. WILLIAM RUTO ila amesisitiza kwenye mambo yafuatayo; ◇ Kukuza na kuimarisha...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangazwa tena mshindi wa tuzo mbili za kimataifa

    AWAMU YA 6 KAZINI OKTOBA 01, 2022 HONGERA: MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN ametangazwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani kuwa mshindi wa Tuzo mbili za Kimataifa. Ikiwemo ya Amani Duniani 2022 na nyingine ni Rais wa...
Back
Top Bottom