Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambayo mwanaume au mvulana anapungukiwa au kukosa kabisa nguvu za kusimamisha viungo vyake wakati wa tendo la kujamiiana. Pia inaweza kuwa ni hali ya mwanaume kuwahi kumaliza wakati wa tendo, au kuwa na nguvu hafifu.
Utafiti unaonyesha kuwa wanaume wengi...
Habari yenu wana JF,Mimi nasoma EGM Pale KAHORORO BOYS,Ndoto zangu ni kusoma hesabu na computer. Swali langu: je, endapo nikifaulu vizuri advanced mathematics,nikachagulia kujiunga na chuo kikuu Kwa kozi ya MATHEMATICS&INFORMATICS,Naweza kufanya kazi gani,tofauti na kuwa mwalimu? Nawatakia kazi...
Nimefurahi sana,kuchaguliwa kwenda katika shule nzuri yenye mazingira mazuri na taaluma nzuri, kwa wale tulio chaguliwa pale KAHORORO BOYS SECONDARY SCHOOL.
Huu ndo muda mzuri wa kufahamiana kabla hatuja tia timu hapo kama mpo tufurahi pamoja ndani ya hii thread
0768428999
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.