Jamani naomben msaada wa dhati,matokeo yangu haya apa

sichela

Member
Feb 23, 2014
15
0
Kati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil upends sana Kuwa hakim lakini kwa matokeo hayo naw era enda kidato Cha tano iLi nitimize
zangu,wengine wanasema nirudie mtiani.Nimechanganyikiwa mpaka inafika maaali nakosa umuhim Wakuishi. TAfadhari nisaidien mdogo wenu
 
jb87

JF-Expert Member
Nov 23, 2012
229
500
Kabla ya kukushauri naomba nikuulize, una uhakika hayo ni matokeo yako?

Halafu division ya 32 ndio nini??

Unajua namna ya kujumlisha hizo points ili kujua division yako??
 
Bob Lee Swagger

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
1,363
1,195
Elimu siku hizi kazi sana! Sasa mbona hata uwezo wako wa kujieleza tu ni tatizo?!
Kweli kufeli hakunaga kuonewa aisee!
Samahani lakin, ngoja waje wanaojua kushauri vizuri!
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Dogo pole sana! Kwa matokeo hayo unawezekano wa kwenda V ni less than 20%. Ku-reseat ni good option BUT kabla ya kufanya hivyo ni LAZIMA kwanza ukubali kwamba UMEFELI !Nimegundua wengi wanao-reseat wanafeli mara ya pili kv huwa wanaamini ile mara ya kwanza walifeli kwa bahati mbaya! Kv wanaamin ilikua bahati mbaya, wanakosa u-serious na kila wakiangalia daftari wanaona vyote walivyoandika wanavijua kumbe hawavijui! Ukikubali kwamba umefeli kisha ukapiga msuli kama first sitting, trust me, UTAFAULU
 
uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,735
2,000
Kabla ya kukushauri naomba nikuulize, una uhakika hayo ni matokeo yako?

Halafu division ya 32 ndio nini??

Unajua namna ya kujumlisha hizo points ili kujua division yako??

dah hiyo ni noma!
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,534
2,000
Kati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil upends sana Kuwa hakim lakini kwa matokeo hayo naw era enda kidato Cha tano iLi nitimize
zangu,wengine wanasema nirudie mtiani.Nimechanganyikiwa mpaka inafika maaali nakosa umuhim Wakuishi. TAfadhari nisaidien mdogo wenu

Nawera ,upends,bilog ,nil,nawera,iLi??!!! Yaaani umenitesa sana kuelewa maelezo yako..wewe nenda kalime tu shule huwezi na div 32 yako
 
Victor 20

Senior Member
Aug 14, 2013
146
0
fuatilia vyuo wanavyotoa hiyo kozi unayoipenda ya uwanasheria ukaanze ngazi ya diploma may be 2 yrs then unachukua degree yako UDSM baadaye utakuwa hakimu ukienda form 5 au 6 we mwalimu mtarajiwa
 
Victor 20

Senior Member
Aug 14, 2013
146
0
fuatilia vyuo wanavyotoa hiyo kozi unayoipenda ya uwanasheria ukaanze ngazi ya diploma may be 2 yrs then unachukua degree yako UDSM baadaye utakuwa hakimu ukienda form 5 au 6 we mwalimu mtarajiwa maana utataka mkopo ili uupate itakulazimu ukashike chaki
 
NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,994
2,000
Kati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil upends sana Kuwa hakim lakini kwa matokeo hayo naw era enda kidato Cha tano iLi nitimize
zangu,wengine wanasema nirudie mtiani.Nimechanganyikiwa mpaka inafika maaali nakosa umuhim Wakuishi. TAfadhari nisaidien mdogo wenu
Ndugu nenda SAINT JOSEPH UNIVERSITY OF TANZANIA UKASOME BACHELOR YA SAYANSI
 
Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
490
195
Dogo pole sana! Kwa matokeo hayo unawezekano wa kwenda V ni less than 20%. Ku-reseat ni good option BUT kabla ya kufanya hivyo ni LAZIMA kwanza ukubali kwamba UMEFELI !Nimegundua wengi wanao-reseat wanafeli mara ya pili kv huwa wanaamini ile mara ya kwanza walifeli kwa bahati mbaya! Kv wanaamin ilikua bahati mbaya, wanakosa u-serious na kila wakiangalia daftari wanaona vyote walivyoandika wanavijua kumbe hawavijui! Ukikubali kwamba umefeli kisha ukapiga msuli kama first sitting, trust me, UTAFAULU

"kwanza ukubali kwamba UMEFELI" noted.... "KUSHINDWA NI FURSA YA KUANZA UPYA KWA UMAKINI NA USAHIHI ZAIDI"
 
kitabuchetu

New Member
Aug 15, 2013
4
0
kijana anagalia kuwa maiasha ya kitaa ymekaaje kisha rudisha mawazo katika maisha kuso ma kisha ndiyo uende shule maana unaweza tena ukarudia shule halafu ukashindwa kuwa na maumivu kisha ukasoma kwa kujiamini kama mwanzo halafu ukabakia kukilaumu wizara ya elimu kwamba labda imekufelish pasipo kujua kauwa unatakiwa usome kwa malengo.pia nincho amini mbali nakusoma kwa malengo bado wew ulisoma akwa kujiamini ukijua kuwa kwa vyovyote lazima ufaulu wakati hujitumi. hebu amua toka moyoni mwako kulingana na matokeo yako mwenyewe unavyoyaona lazima kwanza ukubali kuwa umefeli au umefaulu ndipo uanze kuomba msaada.
 
Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
1,841
1,500
Kati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil upends sana Kuwa hakim lakini kwa matokeo hayo naw era enda kidato Cha tano iLi nitimize
zangu,wengine wanasema nirudie mtiani.Nimechanganyikiwa mpaka inafika maaali nakosa umuhim Wakuishi. TAfadhari nisaidien mdogo wenu

kijana sijakuelewa kabisa.
hiv sikuhizi wanachukua credit ngapi minimum kwenda hata private advance.mimi nakumbuka tatu.na pia mbona wengine walikuwa na div 3 yacredit tatu net walienda goverment mwaka 2011.
 
Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
1,841
1,500
Kati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil upends sana Kuwa hakim lakini kwa matokeo hayo naw era enda kidato Cha tano iLi nitimize
zangu,wengine wanasema nirudie mtiani.Nimechanganyikiwa mpaka inafika maaali nakosa umuhim Wakuishi. TAfadhari nisaidien mdogo wenu

nenda HKL mbona una C.C.B
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom