Recent content by SG MUSHI

  1. SG MUSHI

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Rais Magufuli kaingia vitani dhidi ya mabepari,ni jukumu letu kupambana na vibaraka wao

    Eti mashirika kama ''haki za binadamu'' dha! ngoja Siku hao unaowashabikia wakutoe meno ndo utaona umuhimu wao PILI hivi unazani hizi vita anazopigana zinania njema sana ila sio Kwa kutafuta sifa asifiwe na sio kukosolewa
  2. SG MUSHI

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tunajaza vijana kwenye vyeo vya UDC badala ya kuwarudisha shule wakasomee taaluma

    Tunazungumza kubana matumizi hapa!!
  3. SG MUSHI

    JamiiForums Tanzania Hotuba mbaya kuliko zote kupata kutolewa na kiongozi wa nchi

    Mi nashangaa hao wanaojiita white people wengi hawana marinda na wanasapoti uzibuaji bora niwe na wake hatamia kuliko kuzibuliwa (alafu wanasema wanaakili)
  4. SG MUSHI

    JamiiForums Tanzania Michael Jackson ni mmoja ya watu wenye akili sana waliopata kuzaliwa Duniani

    Mi nyimbo sake tano tu huwa nazipenda zaidi Thriller The way u make me feel They don't care about us Bill jean Black and white
  5. SG MUSHI

    JamiiForums Tanzania Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Dini zimeanza mbali sana na chaajabu watu wa kipindi kile walikuwa waelewa tofauti na sasa Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  6. SG MUSHI

    JamiiForums Tanzania TBC 1: Hivi tatizo ni Mitambo au Kamera hazina uwezo?

    Bora shirika libinafsishe umiliki 75% ili liweze kujiendesha kitaalamu Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  7. SG MUSHI

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yapiga marufuku matumizi ya "Drones" bila kibali maalum

    Sikuizi kunahadi selfie drones sijui naizo vp Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  8. SG MUSHI

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Nimesoma mudhasari wa taarifa ya tume ya kwanza (makinikia) sijaona jina ACACIA naona ripoti ya mchanga usio na wenyewe nahisi labda mchanga ulikuwa wa TMAA &WIZARA
Back
Top Bottom