Vijana kubembeleza hamjui kuhudumia hamjui, kuna kaka mmoja jamani yani akinipigia simu napata raha sana yani anaelewa mahitaji ya mwanamke, tukikutana kama nywele zimeanza kufumuka unashangaa anachomoa hamsini na kuendelea nenda kasuke, ukipigiwa simu uko wapi town unafanya nini nanunua nguo...
Wakati tunasoma tunalowana umande na baridi nyie mlikuwa wapi, si mlikuwa mmelala nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Comment ya kipuuzi sana hii
Anyway natania tu
Naomba wajasiriamali wadogo tufikiriwe jamani watumishi watumishi kila siku...
Sikutegemea kama kuna mtu Jf(eti great thinker) anaweza kumpiga mke mpaka akazima shame on you
Alafu umeandika bila hata aibu,
Ndo mana wasukuma nyie kabila la ajabu sana(siyo wote ila wengi wenu) hasa wanaume mnatesa wake zenu mna mfumo dume na ushamba sana
Binafsi umenikera sana...
Kupata tenda Babati ni ngumu kwanza ni mji mdogo ambao watu wanafahamiana mtu mpya kujulikana si leo.
Dodoma inakuwa inajengwa hasaa, kupata tenda ni rahisi dodoma kuliko babati
Ila kwa unafuu wa maisha babati kuna unafuu mkubwa kuna fursa ya kilimo na ufuagaji pia, kuna ardhi nzuri yenye...
Naomba nikuulize mkuu, najua bado mnaendelea kuzaa, mkizaa majike tupu alafu huyo first born akabaki dume peke yake na wakaendelea kucheza kidaka, kupika kubeba midoli utawafukuza wanaooooo???
Think twice
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.