Ila nadhani sasa hivi ccm hawana katibu mwenezi kiukweli, aliyempa polepole alikosea sana sana.....huwezi kumfanisha nape na huyu mtu....wajitasimini upya watafute katibu mwenezi....badala ya kutuambia zile pesa za wastaafu watarudisha lini waendelee kupata pension anaongea sijui vitu gani...
Yaani huyo hafai kuwa mke...utateseka maisha yako yote....hata biblia inasema "kama ilivyo ngumu kwa mzee kupanda mlima uliojaa mchanga ndivyo ilivyo kwa mume mpole kuishi na mwanamke mwenye makelele" nimesahau kwenye biblia ni kitabu gani.
Sio uchunguzi tu hata albadili walikataa watu wasisome kipindi tundu lisu walikataa.....yaani mtu atakama umetumwa waza basi wakati unaandika huo upupu wake...
Kwahiyo watu wavunilie hadi miaka 7 ijayo? Vipi akija mwingine? Hili bomu linatengenezwa litalipuka wewe angalia tu hata kwenye familia mzazi akiwa mkali sana sana watoto hufika mahali mioyo yao haina tena woga yaani hapo ndio ataletewa mimba nyumbani, watoto wataruka ukuta waende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.