Recent content by Severas

  1. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Wivu kwa mwanaume so kwelii we tukana unavoweza ila wivu kwa mwanaume ni mzigo
  2. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Ngoja nikuache maana unaelekea kulia bob ila Sheria ni ileile wacha wivu kwa wanaume wenzio
  3. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Sawa brother sikuiti Tena hivo ila ujumbe umekufikia PUNGUZA WIVU kwa wanaume wenzio hii ni JF tuu ingekuwa maisha ya ukweli mtaani tungeshakuwamba makofi
  4. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Brother punguza hasira hakuna aliekulazimisha kuwa na roho ya kike. Kikubwa muombe Mungu hiyo roho ya wivu ikutoke.
  5. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Ok sawa chief ila sio kosa kuwatag watu kama unahisi amekosea hiyo ni opinion yako ye kwake iko sawa na ndio maana kafanya hivo
  6. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    As long as mtu kareply comment yangu nitareply back brother
  7. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Hapo kawatag watu wamsaidie mawazo siku waseme wanamchangia pesa si utakufa dah kweli wanawake mnae matatizo sana
  8. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Ukimaliza kulia jua kwamba una roho ya kike umeona kama waliotagiwa watafaidi sana yani haya watakutag na wewe skuingine
  9. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Kwamba kuwa mshamba sikuizi ni kosa bro, ok ulitaka afanye nn na vipi kama ndo anataka hao watu ndo wamjibu na sio kila mtu
  10. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Una roho ya kike roho ya wivu mwanaume kama binti sa umeumia nn jamaa kuwatag hao watu
  11. Severas

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Hiyo roho uliyonayo ni ya kike kama huwezi kumjibu acha sa unaumia nn yeye kuwatag hao
  12. Severas

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Lissu akashinda Kesi basi ulinzi wake uongezeke sana. Kuna watu hadi sasa washajipambanua wanaomba akutwe na Hatia

    Mngekuwa na uwezoo wa kumnyonga mngeshamnyonga ila mnaogopa mnaweza sababisha tukaingia barabarani phase2 qmmk
  13. Severas

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Lissu akashinda Kesi basi ulinzi wake uongezeke sana. Kuna watu hadi sasa washajipambanua wanaomba akutwe na Hatia

    Jinsi unaona saro wiwa ni mwamba it's the same kwa lissu ni vile nyie wajinga ndo mmeziba maskio na macho
  14. Severas

    JamiiForums Tanzania Mm sijaoa ila tayari mm ni baba wa watoto wawili.

    Kuna shida mtu kuwa singo mama au singo baba
Back
Top Bottom