Recent content by Setin

  1. S

    PreGE2025 Nadhani ni muda muafaka kwa Tundu Lissu, Makonda, Mbatia na Wazalendo wengine kuanganisha nguvu 2025 kuchukua nchi

    Huu ndio ukweli Ubinafsi na maslahi ni kipaumbele chao wengi wao kuliko Taifa. Mwabukusi, Bashiru, Msigwa, Makonda, Dr Slaa, Tundu Lissu, Lukuvi, Mbatia, Polepole, Kalemani, Heche, Kabudi,Ndugai, Mpina, Mnyika wakiungana wanachukua nchi. Kenya Uhuru aliunga nguvu na Odinga. Afrika kusini...
  2. S

    Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu

    Kuna nafasi ndogo ya kujenga ukuta, lakini pia umahitaji mtaro kupitisha maji ya mvua hadi kwenye mitaro ya jiji? Ukuta wa aina gani utafaa hapa?
  3. S

    Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

    Ni rahisi kutoka Mirembe kuliko kutoka Jela.
  4. S

    Maandamano pekee yanatosha kuonesha utekelezaji wa 4R na Demokrasia kukua nchini?

    Viashiria muhimu ni Wananchi wote kupata haki zetu zote za msingi kama maji, umeme, elimu, afya, miundombinu, ajira, mazingira rafiki ya biashara na kilimo pamoja na uwezo wa kuchagua viongozi.
  5. S

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Kabisa, clubs zao zisingeweza kushinda mara nyingi makombe yote ya Afrika pia Misri isingeweza kushinda mara saba AFCON. Uwazi, kujiangusha kupata penalties, kupoteza muda, kuhonga marefa umewabeba kwa muda mrefu sana. Haiwezekani tena sasa.
  6. S

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Sidhani kama alitumwa, ila yuko emotional sana. Alifanya Morocco wawe na usongo zaidi kutupiga. Viongozi wahusika waangalie historia ya makocha wanaowaajiri.
  7. S

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Tanzania ina menhi sana ya kunifunza kutoka kwa Mauritania. Mauritania kwenye Fifa ranking tumewapita, population, utajiri, ardhi nzuri, hali ya hewa tumewapita kila kitu. Wametupita kwenye mikakati. Walichofanya ni kuweka mikakati kama kuwatafuta na kuchukua wachezaji wao wa diaspora, kuwapa...
  8. S

    PreGE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

    Huyu kiongozi akishiba, hajali vitu vyote muhimu kama umeme, maji.
  9. S

    Mabwawa yamejaa na umeme hakuna, TANESCO wako kimya, tunafeli wapi?

    Wapumbavu wamepewa nchi. Itakuwa maumiu kwenda mbele. Akili zao ni kuuza rasilimali za nchi zote, kukopa. Sio kujitegemea.
  10. S

    Mabwawa yamejaa na umeme hakuna, TANESCO wako kimya, tunafeli wapi?

    Wahuni wamechukua nchi. Watakuletea sababu za ajabu ajabu.
  11. S

    Mabwawa yamejaa na umeme hakuna, TANESCO wako kimya, tunafeli wapi?

    Unafikiri anajali, kwa akili yake. Yeye ni Mzanzibari akibebwa a Magufuli. Akipambana mwenyewe ni shida. Hana uwezo wa kupambana. Atatumia dola, kuiba uchaguzi.
  12. S

    Mabwawa yamejaa na umeme hakuna, TANESCO wako kimya, tunafeli wapi?

    Sababu kibao,sababu kubwa ni kwamba hawajali. Wanajalli zaidi kuiba pesa, uzalendo ni 0%.
Back
Top Bottom