Recent content by seru

  1. S

    JamiiForums Tanzania Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

    Hawa viongozi ndo kimbelembele cha kujifanya usajili bila kufuata ushauri wa kocha waachie ngazi mara moja
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

    Kashatua muda hakuna lolote mikwara tu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

    Mbona kuna watu wanatokwa na povu? Hili ni jukwaa huru kila ana maoni yake
  4. S

    JamiiForums Tanzania NHC Morocco square kuanza kuuzwa, vijana tuchangamkie tujipatie nyumba kwa bei nafuu

    Wewe ambaye una hiyo hela ya kununua nyumba ya bei hiyo sio kijana tena usijiite kijana tena ss vijana hata hela ya kula inatupiga Chenga ajira hakuna umri wako kama makamba
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu punguzeni umalaya utanishukuru baadae.

    Tumeshajua una nyumba
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kaonewa sana

    Hii ni takataka
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

    Wewe hata sura huna
  8. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Harrier Old Model

    Ya zamani sana hii
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaani kumzuia tu mke wangu kwenda Moshi nimezua ugomvi!

    Pia swala la kwenda Moshi ni jambo lako na mkeo halituhusu as ni mambo ya ndani ya nyumba eweje it's late huku hauna privacy ?au nyie ndo mliooa wachaga video coz ingekua umeona mchaga harusi hata hii mada usingeweza kuileta huku
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaani kumzuia tu mke wangu kwenda Moshi nimezua ugomvi!

    Kila siku ni mada za wachaga hamna cha kufanya?tafuteni hela ache nafuatilia maisha ya watu huku kulalamika hali ni ngumu kumbe hamfanyi kazi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    Hili lidingi linaonesha lina3 chuki binafsi
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaani kumzuia tu mke wangu kwenda Moshi nimezua ugomvi!

    Sasa unatuambia ili iweje?
Back
Top Bottom