nahitaji smartphone ya haraka kwa bei poa kabisa ya laki moja.....
preferably Huawei acsend au Samsung dual...screen 4inches na kuendelea...
twende kazi
hili halitawezekana.by the way sio wa kwanza kufany ahivi.wapo wanaofanya hivi mradi tu upate elimu nzuri...
hakuna kipindi kigumu mama,ni changamoto tu za maisha...wengine wanatamani ujauzito hawaupati,wengine wanatupa,wengine tupo huku.yote maisha
anatarajia kujifungua muda wowote kuanzia hivi sasa.............
kinachohitajika kwa sasa ni elimu ya kutosha jinsi ya kumnyonyesha mtoto huyo kwa maziwa ya mama pekee kwa kipindi cha miezi mitatu alichopanga ili kumzuia na maambukizi ya VVU toka kwa mama.
tafadhali MziziMkavu toa elimu hapa...
Hi Jamii
ninahitaji food suppliments kwa maana ya vidonge ambavyo vitanipa nguvu kidogo........si kwmba sina nguvu..it happened cd4 zinashuka kwa kasi japo siumwi...nahitaji kuzipandisha.nakula vizuri ila weight loss nimeiobserve..sijaanza kutumia arv na nisingependa kuzianza now...nakula...
hi jf...naomba kufahamishwa maeneo kwa maana ya maabara hapa dsm ambapo upimaji wa cd4 unafanyika privately na kwa bei nafuu...less than 50,000..asante
hizo siasa zenu huku huko.....mipango kibaaao mmekalia politics na facebook kama sio jf hamna kazi ya maana inayofanyika..samahni kama nimekuudhi maana nawe pia umeudhi!!sio muda wa kubishana na kutajiana kazi zenu mara elfu mngekua na icho kitengo cha kuwakutanisha watu walioathirika wakapata...
nakumbuka jamaa alikua wa kwanza kujenga gorofa pale kiboroloni-mnazi mmoja anapokaa.ni miaka ya 1999 hivi kama sikosei niliona icho kiota kwa mara ya kwanza..anakaa jirani sana na nyumbani kwa marehemu Mowo yule mmiliki wa Mzalendo Pub...jamaa ni tajiri siku nyingi sana thats what i can...
dah.......im crying!!i feel it...i feel the pain ur family is having now for Troy...oh My...so Troy is asleep now..yes!!asleep and will never work up..RIP bro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.