Celeb wetu na bastola facebook

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Siku hizi bana......sijui sheria ya umiliki wa silaha unasemaje?
mwendawazimu.jpg.jpg

mtangazaji wa clouds fm anodi kayanda...ubabe ubabe tu.....

553745_10150635110023479_724998478_9274007_289846336_n.jpg.jpg

risasi tayari tayari.....na mie naweka gurneti langu....
 
Kwani huyu naye anajieka katika kundi la watu maarufu (celeb)??
 
Siku hizi bana......sijui sheria ya umiliki wa silaha unasemaje?
mwendawazimu.jpg.jpg

mtangazaji wa clouds fm anodi kayanda...ubabe ubabe tu.....

553745_10150635110023479_724998478_9274007_289846336_n.jpg.jpg

risasi tayari tayari.....na mie naweka gurneti langu....

Anorld Kayanda sio mtanzania na hajawahi kuwa mtanzania. Ni Mnyarwanda pure hivyo sishangai.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom