Recent content by SERIKALI 3

  1. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Emirates yaweka record kukaa hewani masaa 17

    h hiyo ilikuwa ni safari ya chile, achana na ile ya EMBRABA kaka. semina tu wakati wa JK.
  2. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Emirates yaweka record kukaa hewani masaa 17

    h huna imani nini na safari yng, kaka nilienda semina kama semina zingine wakati wa JK!
  3. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Emirates yaweka record kukaa hewani masaa 17

    duuuuuh wanikumbusha safari tokea Oliver Tambo O.T mpaka Rio de Janeiro
  4. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwekaji jiwe la msingi barabara ya njia nne Arusha

    soma kwa kutafakari kilichoandikwa utaelewa, pia nilikuwa nakomenti maelezo ya nani pale juu?
  5. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    Bora umenisaidia kumjibu!
  6. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    Unadhani utanyanyua taifa kwa mshahara wako wa1,000,000/= ndugu?
  7. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    HTC kaka
  8. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwekaji jiwe la msingi barabara ya njia nne Arusha

    Siipendi CCM kwa kuwa nimefika Egypt na miji yake yote, Jo'burg na Pretoria na Lagos, kwa hakika sie tupo stage ya kutambaa kbs.
  9. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    Nani sasa ningemla TIGO?
  10. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    Ni tiGO bhana wala Sio TIGO!
  11. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    rubii ni mara chache wanaume wakiachana au kufiwa na wake zao huwa huchagua mke mpya tokea kwenye michepuko yao!
  12. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    rubi ni pasua kichwa mie simuwezi asilani!
  13. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    hapana, ila mke wangu anaamini kwenye hadithi za hayati mwalimu nyerere " eti mke wa kaisari hastahili hata kutuhumiwa" sasa iweje mie nituhumiwe na kwann hiyo text ije kwangu na wala sio kwako?
  14. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    Sasa tunaanzia wapi ndugu?
  15. SERIKALI 3

    JamiiForums Tanzania TIGO wamevunja ndoa yangu

    Appreciation kaka!, tunafundishwa kushukuru kwa kila jambo kaka
Back
Top Bottom