TIGO wamevunja ndoa yangu

TIGO wamevunja ndoa yangu

Hili la kujirudia sms kwa Tigo hata mimi limenitokea juzi kwa mtu kulalamika namtumia sms zile zile..pole
 
Hilo swala mi lilitaka kuniumbua pia tokea juzi napokea mesej ya mchepuko repeatedly. Kila baada ya masaa mawili. Sasa sina hakika kwamba ni tigo ndio wenye makosa maana namba inayonitumia sms ni ya voda.
Cha kushangaza kuna sms ambazo pia zilikuwa hazinifikii akituma tokea juzi. Nimestuka alfajir ya saa 10 leo nakuta message kama 63 nikaziclear na bado zikaendelea kutiririka zaidi ya 45 na kitu yan mpaka panakucha ni text 100 na upuuz uzuri bibie alikuwa kalala fofofo kwa uchovu vinginevyo ningeumbuka leo asubuhi na mapema.
Hivyo mkuu sina hakika kama ni tigo ndio wanazingua, hebu cheki hio namba inayokutumia text kama sio ya voda. Nahisi voda ndio wana mushkeli.
 
Nilikosana na kibinti, sasa kila baada ya muda fulani msg inakuja "SIKUTAKI SIKUPENDI". Just imagine
 
Intro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro.

Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa huduma murua na iliyokidhi mahitaji yake (Kimwili, Kiroho na Kiakili), lakini pia kunipa taarifa ya jinsi alivyochoka mapaja hata kufikia kuwaza "UE" ya J'3 ataifanyaje!

Upuuzi wa tigo: Pamoja na kuifuta text hiyo kwenye simu yangu, ila imekuwa ikija kila baada ya dakika 45 ama baada ya masaa mawili (2) hivi. Mpaka jana saa 2 usiku ilijirudia tena na WIFE yaan MKE wangu akafanikiwa kuinasa.

Mke amesepa kwao: Nadhan mpaka muda huu yupo kati ya Chalinze na Morogoro kama basi linatembea vizuri, maana anarudi kwao TUNDUMA>

Nini Nifanye kwa Hawa Tigo: Je , wana JF nina weza kuwashtaki hawa tigo kwa kushindwa kulinda USIRI wangu yaan "PRIVACY" hadi kufikia kuvuruga NDOA Yangu?
Kwani tigo ndio walikutafutia huo mchepuko
Upuuzi huu
 
Tigo wana makosa. Wameharibu privacy yako.
 
Intro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro.

Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa huduma murua na iliyokidhi mahitaji yake (Kimwili, Kiroho na Kiakili), lakini pia kunipa taarifa ya jinsi alivyochoka mapaja hata kufikia kuwaza "UE" ya J'3 ataifanyaje!

Upuuzi wa tigo: Pamoja na kuifuta text hiyo kwenye simu yangu, ila imekuwa ikija kila baada ya dakika 45 ama baada ya masaa mawili (2) hivi. Mpaka jana saa 2 usiku ilijirudia tena na WIFE yaan MKE wangu akafanikiwa kuinasa.

Mke amesepa kwao: Nadhan mpaka muda huu yupo kati ya Chalinze na Morogoro kama basi linatembea vizuri, maana anarudi kwao TUNDUMA>

Nini Nifanye kwa Hawa Tigo: Je , wana JF nina weza kuwashtaki hawa tigo kwa kushindwa kulinda USIRI wangu yaan "PRIVACY" hadi kufikia kuvuruga NDOA Yangu?
Usijari kaka nipe namba ya simu ya mkeo mie nimalize hiyo kesi yenu
 
Kama unampenda mke wako naunahitaji arudi nipe namba yake nimpe ushahuli nazani atadudi lakini na ww usirudie
 
Mungu kakuumbua! Tubu kwa Mungu & mkeo.

Ila watu wengine bhana! Yaani unavunja ndoa kwa kasichana ka mwaka wa 2 chuo!!? Usikute, kenyewe kanagawa kwa jamaa huko.

Sasa, ili kakukamate vizuri kanakutungia shairi ili ujitie kitanzi. Uzinzi, kweli huondoa fahamu!
 
Huu n upumbavu uliokidhiri ndo maana taifa linazd kukudidimia. Unataka watu uchoshe akil zao kwa kukushaur upambavu wako badala akl za hawa watu zngetumika kufikr jinc gan ya kunyanya taifa lao lililojaa wapumbavu km ww kila mmoja ktk nafac yake.
 
Eee baba Mungu, tuokoe wanaume sisi tulio baki na utupe hekima maana kila kukicha wanaume tunazidi kupungua na wanawake wanaongezeka kwa kasi kila uchao. Ni ombi langu kupitia katika jina la mwanao Yesu kristo, ameen.
 
Kuna mdada namdai laki 1,Jana kaamua kuanza kupunguza deni,katuma 13000 kwa MPESA,lakini nimepata meseji sita katika muda tofauti kwa transaction moja,kila baada ya lisaa unapata meseji ileile mpka ikabidi nimpigie yule dada kumuuliza,ametuma 13000 Mara 7 akajibu "aku nimemtuma Mara moja tuh"
 
Back those days nachepukachepuka sanaaaa nilikua natumia Samsung ukienda kwenye message setting kuna sehem ya spam huko nilikua na-add michepuko so hata mchepuko akitext mara elfu message inaingia lakin u can't see it mpk baadae nikiwa pekeangu ndo naingia huko kwenye spams naangalia kunani.....anyway nimeacha sa hivi nampenda na namthamini nilie nae no michepuko anymore.....

NB: Usijaribu kwa mwanamke mtundu mtundu wa simu utaumbuka
 
Kama unampenda mke wako naunahitaji arudi nipe namba yake nimpe ushahuli nazani atadudi lakini na ww usirudie
Mate ya uroho yanakumwagika mpaka unaandika kama bata..
ushahuli
nazani
atadudi...
Punguza ufisi maji huo!.
 
hivi usingechepuka ndoayako ingevunjika.Tatizo sio tigo ni wewe mwenyewe umechepuka huku ukijua una ndoa
 
Kwanza nawapongeza Tigo, kwa kumsaidia mkeo kujua uovu wako.
MTU una Mke lkn huridhiki unahangaika na michepuko. C uliona mchepuko muhimu sana, mtafute sasa c mmeachwa huru
 
Back
Top Bottom