Recent content by sergio alonso

  1. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

    Twende taratibu. Kwa hiyo hata wewe (lets say ni msukuma) umepata watoto wawili wa kiume, unaweza kuamua kuwapa kila mmoja kabila lake, mfano mmoja akawa mpare na mwingine akawa mchaga?
  2. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

    Na jacob babu yake ni nani? Kuna uwezekano wa baba msukuma kuzaa mtoto mmakonde?
  3. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

    Kwa hiyo ibrahim na ismail walikua waarabu au walikua wahebrania /wayahudi?🤷‍♂️
  4. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

    [emoji1787]
  5. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Novatus Rugambwa ateuliwa kuwa balozi wa Papa New Zealand

    Ndugu, kwanza unatakiwa ufahamu utamaduni wa wahaya katika kuwapa majina watoto wao. Mfano kwa wakristo, kila mtu anakuwa na majina mawili, mfano utakuta mtu anaitwa John Mwesiga, hilo jina Mwesiga sio jina la ukoo (surname), ni la kwake... kama huyu John ana baba aitwaye Jacob Rweyemamu kwa...
  6. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Saa 4 dk45 usiku (EAT)
  7. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nani yupo hapa
  8. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nakuja tulale
  9. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Muda bado
  10. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Njoo pm
  11. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Waache wapumzike kwanza
  12. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Ndo kwanza kumekuchs
  13. sergio alonso

    JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza wa Uganda ni Kabaka Mutessa si Obotte

    [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Back
Top Bottom