Recent content by sergei

  1. sergei

    Kichwa cha mtoto kuwa na joto kali wakati sehemu zingine za mwili kuwa kawaida

    Nimekusoma mkuu mimi kaendesha kwelikweli kamaliza wiki iliyoisha ila kwa sasa amestop alikua anapewa nyonyo kwa sana na maji kwa wingi. Ila kwa sasa naona kichwa ikifika mida ya jioni kinakua cha moto....
  2. sergei

    Kichwa cha mtoto kuwa na joto kali wakati sehemu zingine za mwili kuwa kawaida

    Mkuu hayo meno yalikua ya juu au ya chin? Wa kwangu ameota ya chin lakin cha moto ikifika mida ya jioni
  3. sergei

    Kichwa cha mtoto kuwa na joto kali wakati sehemu zingine za mwili kuwa kawaida

    Mambo vip kaka hii inshu yako uliisolve maana mwanangu anashida hii pia
  4. sergei

    Msaada wa Pediatrician mzuri hapo Dar

    Mambo! Unaweza nipatia namba ya dr. Antony, mwanangu anashida kidogo
  5. sergei

    Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    Kitu cha muhimu katika maisha ni kuwa na furaha na familia yako, kwahiyo usijishtukie ni Kitu cha kawaida. Mshukuru Mungu ulichonacho utafika tu pale unapotaka kufika Sent using Jamii Forums mobile app
  6. sergei

    Viti Vya Saloon ya Kiume

    Habari Wakuu! Naulizia bei ya viti vya Saloon ya Kiume. Kama mtu anavyo, tafadhari tuwasiliane kwa email nsajigwa.mwandi@yahoo.com
  7. sergei

    Vijana 200 waliosoma IT wanahitajika kinondoni

    Duh mwana (makonda) anakuja juu
  8. sergei

    Kubadilishana kituo cha kazi (Ualimu)

    Niko mbeya (Mbozi Mission) mwenye kupenda kubadilishana kituo cha kazi katika mikoa hii ya Pwani,Tanga,Morogoro na Arusha basi anicheki kupitia namba hii 0658262637.
  9. sergei

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Niko serious ni PM
  10. sergei

    PCCB:Magunia yatumika kubeba Barua za maombi ya kazi...

    Ukiitwa kwenye usahili ujue ni bahati yako!
Back
Top Bottom