Recent content by Sereni25

  1. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

    Ndugu nitafute inbox please
  2. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Unazeeka jione hapa

    Inabidi tusalimiwe humu aisee!!
  3. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Shukran mkuu nitawapa wote kesho!
  4. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Wana kunja shingo kuangalia chini kama vile kutaka kupiga sarakasi Ila kichwa ndio alikuwa Ana zungusha Sana kama kifafa nionavyo!
  5. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Shukran mkuu ndivyo ninavyo fanyaga mkuu!
  6. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Shukran mkuu waliuguwa 2 mmoja akafa walikuwa wa kubwa ninao zaidi ya 60 Vifaranga ninavyo vingi Ila sija vichanganya Walio uguwa walikuwa wanakosa nguvu miguu shingo wana kunja kama ulivyo sema! Sijawahi wa chanja chanjo yoyote una shauri ni wape chanjo hawa wakubwa tu au wadogo?
  7. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Karibu mkuu
  8. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Bonge la nyama
  9. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Bata mkuu Wa kawaida kwa ajili ya mahitaji binafsi ya nyama mkuu sio kwa biashara!
  10. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Hapana mkuu niliwahi fuga wakanizingua ugonjwa wa ndui nikaachana nao!
  11. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Shukran mkuu
  12. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Mkuu vikonyo sija vijuwa kabisa !
  13. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Kiasi mkuu!
  14. Sereni25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wangu wanakufa, niwapatie dawa gani?

    Shukran mkuu ninao vifaranga mkuu wa week 2 , 8 wengine wa leo!
Back
Top Bottom