Recent content by seremi

  1. S

    Mwenye mikataba ya ajira ya madereva wa CHADEMA atuwekee

    Mbona mnaulizia mikataba ya madereva wa CDM pekee? S wali la kijinga mno.
  2. S

    Sasa ni Dhahiri: CHADEMA Walikosea Kumfukuza Zitto!

    Harak a za nini? Tumpe mud a hizo ni nguvu za soda tu. Wala sioni tishio kutoka kwa msaliti.
  3. S

    Huyu ni nani na alifuata nini Ikulu?

    Yuko kama mganga wa kutumia majini. Anatisha
  4. S

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Mengi ni mtanzania safi mwenye nia thabiti ya kuinua maisha ya raia wenzake. Juhudi za kumchafua kwa maneno ya kubuni hazitafanikiwa. Kumbuka mti hujulikana kutokana na matunda yake.
  5. S

    Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

    Akipata nafasi ya kuhutubia watanzania itakuwa jambo zuri sana. Tuweze kupata mawazo mapya na kujua pia uwezo alio nao kwani nimgombea urais mtarajiwa. Lakini nimjuavyo dr Slaa sijui kama atakubali!
  6. S

    Tweets 3 za Dk.Wilbroad Slaa kuhusiana na kashfa ya Escrow

    Mnamwogopa sana Dr Slaa. Inavyoelekea mngekuwa na ushahidi japo mdogo tu wa hizo tuhuma zenu mngeziweka kila siku hapa! Lakini maneno matupu kama haya ayaonyeshi chochote zaidi ya woga.
  7. S

    Picha: Prof Lipumba aizika ccm rasmi Lindi

    Hayo yameshafanyiwa kazi. Jinsi watu walivyo na kiu ya mabadiliko hawatajali nani anashinda alimradi asiwe ccm tu basi. Nimeliona live leo huku Nzasa leo nikashangaa sana.
  8. S

    Matibabu ya Kikwete yazua balaa Bungeni

    Nchi yetu inahitaji maombi. Tumuombe Mungu wa rehema atuwezeshe kupata viongozi ambao watajali maisha ya raia wao maskini. Hospitali hazina dawa, lakini kiongozi anaishi kama vile ana pesa ya mafuta!
  9. S

    Hongereni CCM chaguzi za ndani serikali za mitaa zimeisha!

    Mnajipongeza nini? Hamjajitambua kuwa hamuwezi tena kuongoza hii nchi? Kila mahali mmefilisi nbc, nssf, eskro, iptl na kwingineko. Hakuna ata jambo moja la kujivunia kama watanzania. Pumzikeni tupate mawazo mapya.
  10. S

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Hapana. Wametufanyia mengi kwa kadri ya uwezo wao. Wamefika mahali wamechoka wanatakiwa kupumzishwa. Kwa heshima watakubaliana na maamuzi ya wengi na taifa litasonga mbele, maisha yataendelea. Mungu wetu, kwako tunaomba baraka tuweze kubadilisha uongozi wa taifa letu kwa amani na utulivu.
  11. S

    Bring Back Our Money

    Jitahidi kwanza basi ujue kinachoongelewa hapa, kama uko karibu na waliohusika na uchotaji huu si ukae kimya? Unaboa sana!
  12. S

    Maswali 7 Ya Godbless Lema Kwa Polisi-Mauaji ya Mtuhumiwa wa Mabomu Arusha

    Mbona hamjajibu maswali inawatoka mipasho tu? Namna hii tutafika kweli?
  13. S

    Aliyekuwa mwanasheria mkuu Zanzibar: Ipo siku ukweli utadhihirika

    Labda kama umeumbwa hivyo! Wengine hawawezi kujifanya tofauti na utashi wa nafsi zao. Mimi ni mmoja wa wasioweza kufanya tofauti na utashi wa nafsi niko huru sana.
  14. S

    Mdee apelekwa Mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Tumia akili yako vizuri, makosa yao hayafanani. Hawa polisi wanaomwagia mama zetu maji ya kuwasha kwa kutumia haki yao iliyo kwenye katiba wanatumwa na nani? Nchi inaendeshwa na polisi, ajabu!
  15. S

    Askofu Mokiwa: Bunge la Katiba linaloendelea ni uhaini na ubatili mtupu

    Kwani kakuibia nini? Yote aliyosema ujaona hapo la maana?
Back
Top Bottom