Recent content by Sercured

  1. S

    Magufuli turns Mnangagwa into a translator

    Lakini wanakuwa na wakalimani.sasa kuongea kiswahili nchi za watu bila mkalimani ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa acheze.Alipaswa kwenda na mkalimani wake badala ya kutegemea kumkuta huko.
  2. S

    Pamoja na Mapungufu kibinadamu ila Kazi anafanya

    Alikuwa anasubiri Picha ya kurusha kwenye mitandao. kavaa gumboot,kichocho hakimpati.
  3. S

    RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

    Kiswahili.in one of universities! Alikuwa wa hovyo hivyo hivyo, u RC haujambadilisha chochote!!!
  4. S

    RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

    Hakuna alikoonesha ujuzi wa kutumia lugha hapo.Anajipendekeza mpaka Bosi anaona aibu kwa upuuzi anaoongea! Ameniangusha sana Mwl wangu!!!!
  5. S

    Hali sio mbaya kama inavyoenezwa kwenye mitandao!!

    Kama uchumi unakua,kwa nini wamezuia ripoti ya IMF kuchapishwa? Viongozi Wa cdm naona wamepata relief baada ya Zito kupokea kijiti. Colabo ya Zito na maalim inawatesa sana!!!
  6. S

    Je, mwaka huu 2019 hakuna Waraka wa Pasaka (Easter Note)?

    Fuatilia maudhui ya mahubiri ya pasaka kutoka kona mbalimbali za nchi kisha unganisha utapata waraka!
  7. S

    Je, Jumanne Nchi kutikisika? Zitto kuanika yaliyomo katika Ripoti ya IMF

    Hakuna haja ya kujiuliza maswali.kitendo cha serikali kuzuia ripoti kuchapishwa kinatosha Ku verify kuwa IMF ndiyo wakweli!
  8. S

    IMF: Uchumi wa Tanzania hautabiriki, mfumo wa ukusanyaji takwimu haueleweki

    Tutakaoshika adabu ni sisi wananchi wala siyo wawekezaji ambao unawaita mabeberu
  9. S

    Polepole na udhalilishaji wa wabunge wa CHADEMA

    Nimewapenda wana ccm wanaume waliokaa mbele kwenye hiyo video jinsi walivyokausha,hawakucheka.walibaki kumshangaa tu Mr slowslow!!!
  10. S

    Waziri Selemani Jafo akitoka ndani ya ofisi yake mpya mkoani Dodoma baada ya kazi

    Ni kweli fursa zinazalishwa Dodoma. Lkn ni sahihi kuhamia jengo kama hilo?
  11. S

    Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

    Huoni kuwa kwa kuhamia ujenzi utasimama!!!!pia no risk kwa watumishi na wateja wao!!!!?
  12. S

    Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

    Wameshindwa Ku apply kauli ya JK, akili za kuambiwa,changanya na zako.
  13. S

    Ni nani aliyekuwa anapigwa mkwara huu na Makonda?

    Duu! Inashangaza sana!
  14. S

    DOKEZO Mkuu wa wilaya mstaafu anaambiwa ajiongeze ili apewe mafao yake aliyofuatilia kwa miaka kumi sasa

    Aandike barua ya wazi kwa Mh.Raisi na kuichapisha kwenye magazeti.
Back
Top Bottom