Recent content by serafini Samali

  1. serafini Samali

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kumfahamu mmiliki halisi wa mashine za EFD

    Hizi ni mashine zinazonunuliwa kwa kodi zetu. Kodi inayotakiwa kulipwa/au unayotakiwa kuilipa unanunulia mashine. Unatakiwa kununua kwa hela cash leo unarejeshewa kwenye kodi baadae. Kwa hiyo hii ukishainunua kurejeshewa hela yako kwenye kodi mashine ni mali ya serikali.
  2. serafini Samali

    JamiiForums Tanzania Mliosoma IFM miaka ya 90 tutafutane

    Nilitokamo mwaka 1998. Credo, Nguma, Mwandenga poa tu
  3. serafini Samali

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha aahidi kutimiza ahadi alizotoa wakati akigombea Ubunge Moshi Mjini

    Alipe kodi tu serikali itawapelekea wananchi maendeleo kuendana na vipaumbele vyake.
  4. serafini Samali

    JamiiForums Tanzania Citizen tv ya Kenya inaonyesha kampeni za Lowassa tu

    Si ni biashara. Wamepata mteja mzuri. UKAWA
  5. serafini Samali

    JamiiForums Tanzania Ushauri pls

    Aende shule akasomee masuala ya biashara kwanza
  6. serafini Samali

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua bank akaunti

    Nenda tawi la nmb lililopo karibu na wewe. Utapewa maelekezo.
  7. serafini Samali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Am looking for friends

    Friend!
  8. serafini Samali

    JamiiForums Tanzania Taharuki Dar es Salaam: Abiria wajeruhiwa kwa kisu, mhusika auawa na wananchi

    Loo kisu kimoja watu wengi?
  9. serafini Samali

    JamiiForums Tanzania Nawapatia huruma sana hawa viongozi wa dini waliobaki ktk kauli mbiu za CCM.

    Wamo katika kuhujumu Tz yetu. Siasa na dini lao moja.
Back
Top Bottom