Recent content by Senjalin Tinka

  1. Senjalin Tinka

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Uulizia utaambiwa upo kwa wakuu wa idara
  2. Senjalin Tinka

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Teeh ,na Mimi ni Mwthirika wa huu Uhamisho kwa hiyo hzo ni Updates ninazokutana Nazo kwenye ,pitapita zangu .Naskia waraka upo lkn sijauona physically ,Kuna mtu kausoma na kunipa taarfa.Nami pia nimesononeka sana we jamaa. Nikiupàta nitaupost ili ujiridhishe pasipo shaka
  3. Senjalin Tinka

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Ni kweli ,hata kwenye ndoa hawaruhusiwi kuomba uhamisho wa kumfuata mwenzi wake labda wawe wanafanya kazi idara moja ,Umezidi kubainisha waraka hyo uliotumwa kwa wakuu wa Idara wiki iliyopita
  4. Senjalin Tinka

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Nasikia kuna waraka kwa wakuu wa idara wa kufuta uhamisho hata kwa barua ambazo tayari zipo Tamisemi.Hapatakuwa na uhamisho tena
  5. Senjalin Tinka

    Nimekunywa maji lakini wapi

    Fanya mazoezi pia maji peke yake hayawezi
  6. Senjalin Tinka

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nakushauri peleka tangazo kule unapotaka kuhamia bwana Singo
  7. Senjalin Tinka

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwambie kama anaweza asogee Manyon mjin Singida ,Piga namba 0757089450 au 0785164144
  8. Senjalin Tinka

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Namshauri kama anaweza aje Manyoni mjin ni karibu sana na Manyara piga 0717972045
  9. Senjalin Tinka

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara gani na wapi unataka kwenda?
  10. Senjalin Tinka

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Andika barua ambatanisha cheti cha ndoa .Siku hiz tamisemi wapo poa kabisa.Mwanaume ana haki ya kumfuata mke wake and vice versa.Asikudanganye mtu
  11. Senjalin Tinka

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Msingi au sekondari? kama msingi nipigie 0717972045
  12. Senjalin Tinka

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Manyon nije Muleba idara ya msingi nipigie 0757089450
Back
Top Bottom