Kwa kifupi Mbape ameonesha kwamba hana lolote la ajabu. Naona safari yake ya kung'ara inafikia mwishoni. Hana adabu. Na hatofika mbali. Akili ndogo utazijua tu. Ni suala la muda. How can he compare himself to Messi. [emoji28]
Crazy little boy.!
Nimekumbuka PROF NDUMILAKUWILI aliwapeleka watu kibao hoteli ya kifahari wakitegemea atalipa bill. Tena alikuwa kanyuka suti kaalii utadhani bonge la Boss. Halafu akawaacha solemba. Sikumbuki hata kilichofuata maana ilikuwa mpaka toleo lijalo.
Pole aisee. Hata mimi nimeachana na huo mtandao kwa mambo kama hayo.
Nilikuwa nime sign mkataba ambao naweka 30000/= kwa mwezi napata muda wa maongezi dakika 33kwa siku kwa mwezi mzima ambao najua siumalizi kwa huo mwezi kwa matumizi yangu ninavyoyajua. Nimefanya hivo kwa kama mwaka mzima hivi...
Tatizo mjasiriamali mdogo hawajamuangalia kwa ukaribu. Mtu anataka kujikwamua halafu anadaiwa kodi na tozo nyingi sana. Pia hawajaweza kudhibiti bei za wenyemapango binafsi ambao akiamka vibaya anakuja kuongeza kodi ya frame kisa kaambiwa na dalali kwamba atapata mteja. Uncertainty ni nyingi...
Hao jamaa wanamalengo mengi. Mojawapo ni kukusanya mapato ya nchi kwa mgongo wa kusimamia sheria za barabarani. Makosa yanatafutwa kwa nguvu zotee.. wala usishangae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.