Recent content by Sengiyumva 01

  1. Sengiyumva 01

    JamiiForums Tanzania New member

    Sawa mke wa babu nimekuelewa
  2. Sengiyumva 01

    JamiiForums Tanzania New member

    Wanawake mabonge kama wewe sitakiii
  3. Sengiyumva 01

    JamiiForums Tanzania New member

    We upo tayarii kuliwaaa 😃😃😃
  4. Sengiyumva 01

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa Tanzania huchelewa kutoboa maisha?

    sometimes ili ufanikiwe inabidi ujichetue akili yani kila dili twende tu
  5. Sengiyumva 01

    JamiiForums Tanzania Natafuta connections za fursa za kunitoa kimaisha

    duh unazingatia mipaka gani it means kwamba Kuna dili huwezi kufanya ata kama inakupa kipato kidogo grow up broh
  6. Sengiyumva 01

    JamiiForums Tanzania Natafuta connections za fursa za kunitoa kimaisha

    kazi zilizopo mtaani siku izi ni za kutumia nguvu tu kama saidia fundi,kufyatua blocks ,ulinzi afu kila mtu ana degree
  7. Sengiyumva 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 30 sina mtoto

    Watoto wa siku izi vivuruge watakuua na presha tu zingatia kumwagilia moyo tu
  8. Sengiyumva 01

    JamiiForums Tanzania New member

    Asante sana
  9. Sengiyumva 01

    JamiiForums Tanzania New member

    Hello to everyone! Mi ni mgeni hapa jamii forum ivo basi ningependa kupewa maelekezo na member wenzangu ambao wamejiunga JF kabla yangu 👊👊👊
Back
Top Bottom