Natafuta connections za fursa za kunitoa kimaisha

We jamaa wa chuga mshamba sana usingetaja hyo kampuni na hizo figisu unaonyesha akili haiko sawa ndo maana project yako ikafeli

Kwani life linabadilika ungeweza kurudi hapo kwa mda kama ulikuwa fresh ili siku ziende sasa wewe unakuja kuwasema huko acha izo jamaa
 
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri, kwa jina naitwa Frero(nick name) ni kijana wa miaka 27 ninaishi Dar es salaam ila ni mzawa wa Arusha, kuhusu familia sina back up, naomba kupewa connections za fursa za kazi, au tenda au chochote kitakachoweza kunitoa kimaisha. Kuhusu my profile

My profile:
Nina bachelor degree of insurance and risk management kutoka chuo cha I.F.M
Nimebobea mwaswala ya sales and marketing with over two years nilipata ajira ya muda wa miaka miwili katika kampuni fulani ipo DSM industry ni FCMG(fast moving consumer goods), baada ya mkataba kuisha sikutaka kuongeza tena mkataba kwasababu ya figisu za hapa na pale na kwenda kuanzisha project yangu binafsi inayodili na marketing lakini haikufanikiwa kusimama wima kwa sababu ya lack of enough fund.

Mimi pia ni dereva niliyesoma chuo cha Veta na madaraja ni A, A2, B, D, na E.

Hivyo, wewe kama mdau wa jamii forum naomba unipe connections either nipate kazi, au tenda at least niweze ku pay bills maana naanza kuzalilika hapa mjini wadau sometimes naaza kuongea mwenyewe barabarani kitu ambacho sikuwahi kukifikiria kabisa maishani.

Simu 0743028208
kazi zilizopo mtaani siku izi ni za kutumia nguvu tu kama saidia fundi,kufyatua blocks ,ulinzi afu kila mtu ana degree
 
We jamaa wa chuga mshamba sana usingetaja hyo kampuni na hizo figisu unaonyesha akili haiko sawa ndo maana project yako ikafeli

Kwani life linabadilika ungeweza kurudi hapo kwa mda kama ulikuwa fresh ili siku ziende sasa wewe unakuja kuwasema huko acha izo jamaa
Figisu hazikuwa upande wa kampuni, ni third party kabisa then kuhusu kurudi nilichekiana nao but nafasi ikawa tayari covered na mtu mwingine. Kuhusu ushamba of course kila mtu ni mshamba kwa muda flani unapokuwa ukijui kitu.
 
I'm always dream big bro....just imagine umlete mteja wa chips then usubiri commission.
 
We jamaa wa chuga mshamba sana usingetaja hyo kampuni na hizo figisu unaonyesha akili haiko sawa ndo maana project yako ikafeli

Kwani life linabadilika ungeweza kurudi hapo kwa mda kama ulikuwa fresh ili siku ziende sasa wewe unakuja kuwasema huko acha izo jamaa
Then sijawasema, naelezea uhalisia nikiamini kuwa hapa sizungumzi na ma H.R, nazungumza na jamii.
 
Back
Top Bottom