sina hakika na unachokisema about protein concentration ktk mazao kutofautiana bt issue inabaki palepale kanuni sahihi za uchanganyaji wa chakula cha kuku ni muhimu hasa katika uwiano wa uchanganyaji ila kuhusiana na hiyo DCP sina knowlegde nayo,afterall kwa mtanzania wa kawaida hasa mfugaji wa...
tatizo la vyombo vyetu vya ukinzi na usalama ni mpaka waathiriwe wao ndio huchukua hatua za kukurupuka na kuungana kwenda kulipiza visasi bt aathiriwe raia wa kawaida.jamani polisi msiishie kupendeza tu ndami ya sare maridadi zinazotokama na kodi zetu wamamchi badi na kututetea mtutetee...
Hello wasaka mali wenzangu,
Naomba kuuliza ni wapi zinapatikana mashine rahisi za kusaga chakula cha kuku hasa za mkono,uwezo wake na bei zake.Pia mwenye kujua kanuni sahihi za uchanganyaji wa chakula cha kuku ambayo inatoa matokeo tarajiwa maana hata haya makampuni ya uuzaji wa vyakula vya kuku...
kilimo sio processing tu mheshimiwa mbona umesahau preparations?vo kuhusu mashine za umwagikiaji na vifaa vyake km Sorincklers je mnadeal na vitu hivyo pia?
Ila pia serikali nayo imepoteza uelekeo wa kiuendeshaji.Mi nakushauri mjimba we banana na mkuu wako wa shule ysko pamoja na idara ya utumishi ktk halmashauri yako km wote hawana nsmna ya kukusaidia basi omba ruhusa ukapumzike zako nyumbani wasikuzingue.ukishaingia kwenye Payroll ndo urudi mzigoni.
safi saana mfuga kuku kwa maoni yako,unajua walimu nao ss hv wamekuwa km vipofu,unajua mi mwenyewe mwalimu najishughulisha kilimo cha bustani bt nimetumia nguvu nyingi sana kuwashawishi tutumie fursa za ujasiriamali tulizo nazo bt kama nampigia mbuzi gitaa,nadhani maisha ya madeni ndiyo walimu...
Pia nilisahau kuhusu kutaga pamoja si tatizo ila cha msingi uwe unakusanya mayai yanayotagwa kisha uwawekee mayai mabovi(bortion)mpaka utapokapoona wanaanza kulalia ndipo unawchukulia mayai mazuri mmojammoja unamuhesabia kulingana na mwili wake unamtengea pembeni analalia.
vizuri sana ndugu yangu kwa kukubali kuwa mjasiria mali naamini utfanikiwa
Kuhusu tatizo la kutotoa bila shaka kuku wako watakuwa wanataga bila kupandwa na majogoo hivyo mayai kutorutubishwa,au huwaandalii sehemu nzuri ya kuatamishia(viota)hivyo kuku kuwa restless na msyai kukosa joto kwa ajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.