carter2012
Member
- Apr 3, 2012
- 9
- 5
Ndugu Mkulima wa Kitanzania.
Napenda kukutangazia kwamba mkombozi wako katika kuongeza thamani ya mazao yako amepatikana sasa.
Sisi ni wakala wa kampuni kubwa ya kimataifa kutoka China.inayotengeneza mashine za kilimo kwa kutumia Teknolojia ya kisasa na katika kiwango vya kimataifa.
Mashine zote zina guarantee ya mwaka mmoja/spare parts za Bure kwa mwaka mzima.
Tuna mashine za kuprocess(kukoboa,kupepeta,kupolish,kugrade ,kusaga,kukamua,kusindika),mazao yote ya nafaka kama mpunga/mchele,mahindi,ufuta,mbaazi,choroko,dengu,Alizeti,soya,uwele,mtama nk.
Pia tuna mashine za kisasa za kukamua mafuta na packaging kwa mazao kama ya Alizeti ,ufuta, ngano na mahindi.
Na pia kwa mahitaji yako ya mashine za kutengeneza pombe zitokanazo za mazao/alchohol making equipments
Na mwisho kwa mahitaji yako ya mashine Za kutengeneza snacks kama tambi,cornflakes na noodles tuwasiliane.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane
Tel:0754712116
E-mail makwalag@yahoo.com