Recent content by Sendeu

  1. S

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Shukran sana kwa ufafanuzi uliotulia -nini kifanyike ili kujikinga na ugonjwa huu ndugu zanguzi wadau-kinga nk.
  2. S

    Bei nissan x-trail ya 2002 bongo

    wakuu naulizia bei kwenye sho room zetu hapa bongo i mean current market price ya hizo gari
  3. S

    Bei nissan x-trail ya 2002 bongo

    Wana bodi habari naombeni mnijuze bei ya soko ya NISSAN XTRAIL GT ya 2002 imesajiliwa na imetumika kuanzia mwaka jana ipo hapa hapa DSM Just bei tu wadau.
  4. S

    Nahitaji toyota starlet bajeti 5m/=

    Wadau toyota starlet inahitajika haraka sana nipo DSM mwenye nayo anijulishe bajeti yangu ni 5m/= mob 0712 437 365.tuma meseji tuu utajibiwa kwa mwenye gari husika asanteni
  5. S

    Natafuta gari ndogo-naombeni ushauri

    wadau nisaidieni ushauri nataka kununua kagari kadogo kwa ajili ya mishemishe za hapa mjini nishaurini kweye haya magari ni lipi durable na economical na upatikanaji wa spea kwa bei nzuri 1.NISSANI MARCH 2.VITZ 3.SUZUKI SWIFT 4.TOYOTA STARLET asanteni naombeni mawazo yenu wana JF hasa toka kwa...
  6. S

    Vipimo vya kisima cha maji

    Wadau nashukuru kwa maoni,ushauri na elimu tenki nililojenga ni la duara kina chake ni futi 14 na upana wake ni futi 8 so from up to down futi zinalingana na upana vile vile the same futi 8 from up to down so please nipeni vipimo vya kitaalamu regardless kuwa mtu unajua au hujui hesabu kubwa...
  7. S

    Vipimo vya kisima cha maji

    Wadau nimejenga kisima ili nivune maji ya mvua hapa hapa DSM naomba wenye ujuzi wanijuze hivi kisima cha urefu wa futi 14 na upana wa futi 8 kina ujazo wa lita ngap? Asanteni
  8. S

    Suzuki swift

    wadau mwenye uzoefu na gari ya aina hii tafadhali amwage dataz hapa JF nina mpango wa kukanunua haka kagari siku za karibuni -nahitaji kujua uzuri na ubaya wake mf.spea parts,fuel,durability etc. nawasilisha asanteni
  9. S

    mawasiliano ya wachimbaji visima kwa bei nzuri (rahisi) DSM

    Wadau naombeni mawasiliano email au simu ya kampuni zinazochimba visima kwa bei inayoweza kufikiwa na mtz wa kawaida bajeti 2.5m to 3m please nisaidieni ndugu zanguni nipo DSM Nawasilisha
  10. S

    Hongera Manispaa ya Kinondoni kwa daraja la Goba na Makongo

    <br /> <br /> Panapitika ndugu ila lazima uwe na gari ya juu sio saloon yenye 4wd vinginevyo kuna kamvua Kamenyesha pameharibika sana kaka
  11. S

    Hongera Manispaa ya Kinondoni kwa daraja la Goba na Makongo

    Acha wajenge tu mkuu sisi ndo tutakaopima ila cha msingi tupate daraja bila kujali ccm au cdm yote heri tuuuu
  12. S

    Hongera Manispaa ya Kinondoni kwa daraja la Goba na Makongo

    Wadau pale panapostahili pongezi lazima tutoe na hii inakwenda kwa manispaa ya kinondoni kwa kuanza ujenzi wa daraja la mto mbezi la kuunganisha goba na makongo hongereni sana na tunaomba muimarishe barabara yote toka goba stend hadi makongo juu hadi survey ili hata daladala ziwe zinafanya...
  13. S

    Mamlaka ya kubadili matumizi ya Ardhi

    Wadau nashukuru sana kwa Elimu hakika hivi vifungu vimenifumbua macho sasa nitafanya huo utaratibu na hopefully nitafanikiwa JF idumu zaidi na Mungu azidi kutupa moyo huu wa kuelimishana asanteni
  14. S

    Mamlaka ya kubadili matumizi ya Ardhi

    Mdau yeyote wa Ardhi atusaidie tafadhali hii ni ishu ya muhimu sana watanzania kujua maana watu wanaumiza vichwa sana kwny suala zima la upimaji wa ardh mkurugenzi wa upimaji wa ardhi kama upo hapa JF tafadhali tusaidie
  15. S

    Mamlaka ya kubadili matumizi ya Ardhi

    Mkuu nashukuru ni nje ya mji kuna kimara na pia goba maana nature ya maeneo haya ni milima na mabonde sasa ukichek kwny raman utaona wamechora au kupiga picha kuwa eneo fulan ni mto ilhal si mtu ni mkondo wa maji tu msimu wa mvua hapo utata unaanza kwny kupima na kiukweli si mto watu wamejenga...
Back
Top Bottom