Bei nissan x-trail ya 2002 bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei nissan x-trail ya 2002 bongo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sendeu, Apr 30, 2012.

 1. S

  Sendeu Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana bodi
  habari
  naombeni mnijuze bei ya soko ya NISSAN XTRAIL GT ya 2002 imesajiliwa na imetumika kuanzia mwaka jana ipo hapa hapa DSM
  Just bei tu wadau.
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  kwann unataka kujua bei tuu?...unAYO UNAUZA AU UNATAKA KUNUNUA?...KAMA UNAYO UNAUZA NA IPO FRESH NI-PM KUNA KITU CHA 12M FASTA KWAKUWA NI WEWE MWANA-JF MWENZANGU...

  ILA KAMA UNATAKA KUNUNUA MKOMALIE ANZIA KIYU YA 10M AKIKOMAA MWAMBIE SPEA ZAKE BEI GHALI SANA NA HAZIPATIKANI..MTAANI INAITWA NDOA YA KIKRISTO HIYO..LAZMA UKIWANAYO KIFO KIWATENGANISHE
   
 3. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sema uagizaji wa gari toka japan kuja bongo kunakuwa na mlolongo mreeefu, ila ukiangalia web ya be-foreward si bei kivile, ila sasa mpaka uwe nalo hapa ishakuwa balaaaa.
   
 4. S

  Sendeu Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu naulizia bei kwenye sho room zetu hapa bongo i mean current market price ya hizo gari
   
 5. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,812
  Likes Received: 20,783
  Trophy Points: 280
  20-23m
   
Loading...