mawasiliano ya wachimbaji visima kwa bei nzuri (rahisi) DSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mawasiliano ya wachimbaji visima kwa bei nzuri (rahisi) DSM

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sendeu, Oct 18, 2011.

 1. S

  Sendeu Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naombeni mawasiliano email au simu ya kampuni zinazochimba visima kwa bei inayoweza kufikiwa na mtz wa kawaida bajeti 2.5m to 3m please nisaidieni ndugu zanguni nipo DSM
  Nawasilisha
   
 2. 1

  19don JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  0655 400023 yupo ilala kabla ya amana zinapokatia kona hiece za kariakoo uwe kama unaenda amana mkono wa kulia duka la 2 bei poa sana inategemea na urefu wa kisima
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wengi mita moja wanachimba kwa 50,000/=
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  tafadhali mweye kuweza kuzikusanya links zote ziznzohusu uchimbaji wa visima vya maji aniwekee hapa..........nazihitaji!
   
Loading...