Recent content by Senanga nkona

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimeoa kumkomoa mwanamke nileyempenda kwa dhati. Najuta

    Uliamua kuoa huna budi kuvumilia ya ndani ya ndoa, kama hajui mautundu ya kitandani muelekeze, vituko na mengineyo ni mambo ya kurekebishana.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kweli napendwa!

    Aisifiae mvua, humnyea
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dolla milioni 1 ni sawa na Tsh ngapi?

    Yalinikuta kama hayo, chukua tahadhari
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

    Kamuulize mama au baba yako wakupe baraka zao
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji huu wa Diamond Platnumz, kamwe hatafulia kama wengi wanavyodhani

    Diamond ni kijana anaejielewa, anayebisha ni chuki zake binafsi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Mambo yanahusu imani ni complicated sana! Ukiingia kiundani zaidi utaibua maswali mengi yanayotatiza. Ila mi naamini hizi dini(uislam na ukristo) ni kuletwa tu, ni mila na desturi za watu flani
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananikera na hii tabia ya kutokupenda kuvaa nguo

    Safi sana, mwanamke ndivyo anavyotakiwa kuwa pindi akiwa ndani na mumewe au mpenziwe. Lazima ajiachie uone vilivyo maumbile yake. Nakushangaa kuchukizwa na jambo zuri
Back
Top Bottom