Recent content by Semlingwa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la Mh Khasim Majaliwa kuhusu kutoa vibali kwa wanunuzi wa Korosho, ndani na nje ya nchi

    Hila ni Dunia nzima bei ya Korosho imeshuka ndio maana wafanyabiashara wanaogopa kununua nyingi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Biashara ya chips hyo sehemi ya kuuzi unalipa kiasi gani?kabati la kuuzia unalo ,viazi unajua ndoo bei gani naona km laki 2 itakuwa ndogo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu great thinkers...

    Biashara, Uchumi na Ujasiriamali Nnataka kukopa kwenye benki ya kilimo ADB naomba wanaojua wanipe ushauri nifanyaje... TSemlingwa S3 minutes ago TNone E UNWATCH ••• S Semlingwa New Member 3 minutes ago #1 Ndugu zangu humu jf nnajua humu kuna watu wa aina tofauti maboss wa mawizara na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kukopa kwenye benki ya kilimo ADB: Naomba wanaojua wanipe ushauri nifanyaje

    Ndugu zangu humu jf nnajua humu kuna watu wa aina tofauti maboss wa mawizara na mabenk naomba muongozo wenu Mimi nikijana nimemaliza chuo tangu 2011,kwa kweli tangu nimemaliza chuo sijawahi kupata kazi ya maana ya kuweza kuniwezesha kujitegemea maana kama mnavyojua kazi za mauzo mtaani vitu vya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Natafuta Projector Nzuri kama Mbadala Wa Flat Screen TV.

    Watu wanaulizia projector za million 1 wengine hela ya kodi hapa tunarudi usiku kumkwepa father house lakini ndio maisha.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Watoto mliyotengenezewa maisha na wazazi wenu mna maneno sana mmemaliza chuo baba kakushika mkono sasa hv upo wizarani hila kuna mtu family nzima yeye ndio kasoma hakuna mtu hta mmoja aliyekuwa kwenye system anaeweza kumshika mkono kafanya interview mpaka kasahau idadi,hakuna mtu anayependa...
Back
Top Bottom